adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Peoplezzzzz
Nauliza tanzania inaruhusu ndoa za mkataba yaani mnaweka makubaliano pande mbili na mnasaini kwamba hii ndoa ni miaka miwili au mmoja?
Na pale mkataba ukiisha mnarudi mezani tena kujadili km unarenew mkataba au ndo mnaagana.
Hii ni safi sana maana hakuna atayemsumbua mwenzie maana mkataba ni rahisi kuuvunja wakati wowote tofauti na shahada ya ndoa ya msikitini au kanisani ni ngumu maana wengine eti hadi kifo kiwatenganishe.hapo unavumilia kero na masahibu ya kutosha kumeza huwezi kutema huwezi.