juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,477
A Story Bout A Woman,Who Made My Mother Cry,Made My Brother Look Like A Fool,Made A Mockery Of Our Family.
MY PART OF STORY:
Iam A Lastborn Among The Three Boys,Mabroo Wamenizidi,Wa Kwanza Miaka Kumi,Wa Pili Miaka Sita. So I Respect Them And Apart From Other Things We Have Never Discussed Or Talked Or Shared Kuhusu Mahusiano Yetu With Women,Apart From Either Wao Kuniona Nikija Homr Na A Girl Au Mimi Kuwaona Wao Wakitembelewa Na Wageni Wa Jinsia Ya Kike.
Some Two And A Half Year My Big Bro The First Bro Aliniita Sebuleni,Nakumbuka Ilikua Jumapili Saying Nimsalimie Shemeji Yangu. I Sensed It Would Be Serious Koz Hakuwahi Kunitambulisha Before Kwa Mwanamke Yeyote Ingawa Niliekwishawahi Kuonana Naye,Nikatoka Nikamsalimia My So Called Shemeji,And That Was That.
Mwaka Ukapita Yule Shemeji Alikua Akija Home Haswa Jumapili Kusalimia So Nikawa Nimemzoea That Way. Habari Zikaja Kuwa Bro Anataka Kuoa Yule Mwanamke,Nilipoangalia Nikaona Okay Wamejuana Wenyewe Huko Walipokutania Wakapendana Na Sasa Wameamua Kuoana Basi Mir Nitamsupport Bro,After All Anatufungulia Njia Kwa Kuanza Kuoa Namna Hiyo. Ndoa Ikafungwa Namna Hiyo,Harusi Ikafanyika,Maisha Yakaendelea,Mimi Nikijua Kuwa Bro Ameoa Na Ana Mke And Expecting Good News Soon Kuitwa BAMDOGO,However Things Were Not As I Thought They Were.
Nilianza Kunotice Something Is Wrong Nikiwa Likizo Ya Chuo,Bro Would Always Come Home Akitoka Job,Not Go To His Home Where His Wife Is,Ila Anakuja Home Kwa Wazazi Tukipika Tunakula Naye Then Usiku Anaondoka,Iyo Routine Iliendelea Kwa Muda Na Mimi Kwa Kua Ni Mkubwa Sana Kwangu Sikuweza Kumuuliza Kitu,Ila Mtu Uliyemzoea Ukimuangalia Vizuri Unaona Amepungua And Stressed.
Nakumbuka Ilikua Siku Ya Wanawake Duniani On A Sunday,Nilienda Church Nilivyotoka Nikaona Niwawish All Women On My Contact List HAPPY WOMEN'S DAY,Madada Zangu,Mademu Zangu,Visusio Vyangu,Clasmates,Ma-Nobodies,Mashangazi,And Mashemeji Zangu,Mashemeji Nliowatext Whatsapp Walikuwa Wawili,Mmoja Ni Mke Wa Bro Mwingine Ambaye Ni Relative Ila Kinda Far,Na Mwingine Ni Huyu Wa My Blood Brother. Meseji Nilivyotuma Zilikua Read By Saa 6 Mchana,Yule Shem Mwingine Alinijibu Na Tukachat Nae Mpaka Mpaka Jioni,Ila Huyu Wa Bro Hakujibu,Saa6 Usiku Nimelala Naona Amejibu Saying Yeye Sio Shemeji Yangu Anymore Na Nimuulize Bro Anajua.,Nilihisi Naota Maana Nlikua Usingizini,Nikaacha Nikasema Ntaisoma Asubuhi,Kufika Asubuhi Kusoma Meseji Iko Vile Vile Nikajua There Is A Big Trouble Na Bro Wangu Alivyokua Mpole And Humble I Got Very Concerned,Kumuambia Maza Atapanick,Nikahold Ila Nikamuambia Someone Close To My Bro Bout It.
MY BROTHERS STORY.
All That Time The Marriage Was Not Consumated. Cheti Cha Ndoa Hakikua
Signed As Kilipotea So Ndoa Ikafungwa Hoping Watasign Next Days,She Didnt Appear On Any Of The Signing Days.Picha Linaanza Usiku Wa Kharusi Walivyofika Chumbani Tu Pete Ilivuliwa Ikatupwa Chini.Nakumbuka I Was Holding His Phones During All The Event So Kesho Yake Nilimpelekea Simu Kwa Hotel And They Acted Like Everything Was Cool. She Told Him That They Were Going To Sleep In Separate Rooms. She Never Cooked For Him,She Came Home Late,Sometimes She Never Came Home At All,Anamtukana,Kamchomea Nguo,Viatu,Destroy Things In The House,Perfoming Absolutely No Duty As A Wife,One Day Going Out In The night When He Asked Her Where She Was Going,She Said Naenda Kugongwa Wewe Huwezi Looking Him In The Eyes Macho Makavuuu,Answering Her Husband Just Like That.
My Bro Is A Born Again Christian,Plus Mpole,Thats Why He Never Wanted To Kwichy That Pussy Before Marriage,Then He Was Also Keen To Maintain Or Save The Marriage As We Know In Christian Marriages No Divorce, But In Doing So Things Goymt Out Of Hand And Reached That Point. And He Never Told Anyone,Maybe Out Of Shame Or Whatever Reason Of Which I Dont Know.
Later It Turns Out,Well She Tells Her Friends Alitaka Kumkomoa My Bro,Now Kumkomoa Because Of What Sipati Majibu. Nikikaa Nikifikiria Naona My Brother Did Not Deserve Any Of This,He Is Not Rich Not A Player Hana Majivuno Mpole Tu And A Committed Man,Sipati Majibu Mpaka Leo,I Hope Nitajua Why That Woman Made Us Waste Our Time,Money To Prepare For Such A Grand Event Then Just Do That... Na Kama Ni Kumkomoa Bro,Mbona Na Yeye Alifanyiwa Sendoff Kubwa Na Gharama Nyingi Ndugu Zake Waliingia For Her Sendoff,Some Say Ana Jamaa Mwarabu Ndo Anadate Naye Ila Where Was That Mwarabu Guy All This Time Was He Behind This?
Au Hakua Sure Anataka Nini?
Hakua Tayari Kucommit Maisha Yake Yaliyobaki To My Brother??
I Honestly Dont Understand A Thing...
Maybe Time With Time Passing Everything Will Reveal Itself.
Nikifikiria My Bro Ako Na Goodmanners Of The Three Of Us Kimemtokea Hiki Je Mimi Machepele??
Sijui Naanzaje Kuoa Tbh.
Kila Mtu Now Anajua My Bro Kaachwa,Words Spread Faster Than Light,He Had To Move...