Heshima kwenu wadau,
Nikamtazamo tu wakuu,
Eti nyie wadada wa siku izi mkoje! Yaani unatongozwa asubuhi inafika mchana alafu hata jibu lenyewe hujatoa unaanza eti " nikwambie kitu.. sijui...
Hivi kabla hujaoa au kuolewa!huyo mweza ulie muoa au kuolewa nae,umekuta %100 yuko pafect,nikiwa namanisha kila kitu anajua?mfano mwanamke ulie mwoa anajua shughli zote za nyumbani!!na mwanaume...
ivi kati ya mwanaume na mwanamke ni nani anaweza kuishi maisha ya ki sungle bila mausiano ya mapenzi na asishawishike kirahisi
sasa wadau nijuze ukwel nani anaweza kupotezea mapenz na akadumu...
Msichana yeyote aliepelekwa unyagoni kuchezwa harusiwi kutoa siri za mumewe, kwa mfano jinsi anavofanya mapenzi, lakini siku hizi tunapenda kusema na kutangaza hadi ukubwa wa uume wa waume zetu...
Kwa maoni yako toka umekua hadi sasa unahisi kabila lipi Tanzania au Zanzibar linafaa kuoa. Kila kabila lina dosari na tabia zake ila ni lipi lenye afadhali na wanawake wake wana heshima na adabu...
Guys are not only guilty about this, sometimes we ladies really feel the urge to be alone and get down with someone we have a crush on. OK enough said
I know some people might take me as a bad...
Watengenezaji wa magodoro wameendelea kuumiza vichwa zaidi kuingiza sokoni magodoro yanayotumia teknolojia ya hali ya juu.
Watengenezaji wa Hispania wametengeneza magodoro yanayoweza kugundua...
Heshima kwenu!
Naomba wadau mnisaidie kunielekeza hospitali nzuri kwa ajili ya kujifungulia katika jji hili la arusha!
itakuwa vizuri ukinipa na direction kidogo jinsi ya kufika hapo.
NB...
Umeshawahi kukaa na mtu ambaye anakutegemea kwa kila kitu hasa ndugu au watoto wa ndugu zako, yaaani we unampa sapoti katika kila kitu na anaelewa shida unazopitia, lakini ikitokea siku unashida...
Wasalaam wana bodi,
Naomba kupata ufafanuzi wenu juu ya suala hili kua kwa mfano umekutana na binti wa dini tofauti,wazazi wake ni watu wadini sana lakin na wewe pia wazazi wako wana dini means...
A Story Bout A Woman,Who Made My Mother Cry,Made My Brother Look Like A Fool,Made A Mockery Of Our Family.
MY PART OF STORY:
Iam A Lastborn Among The Three Boys,Mabroo Wamenizidi,Wa Kwanza Miaka...
Nina mpenzi kama miezi 5 sasa,wakati anananifukuzia nilimchukulia poa,milimzingusha kama mwaka hivi ,baadaye akaenda ongea na shosti yangu amuunganishie,mwanzoni nilishikilia msimamo wa kumkataa...
How to 'discipline' your wife, Saudi style: Muslim family therapist advises men to 'beat spouses with a toothpick or handkerchief' and 'forsake them in bed'
Family therapist Khaled Al-Saqaby...
Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia...
HilijJambo huwa linanishangaza sana, watoto wa kike kuingilia mahusiano ya kaka zetu.
Mkaka miaka 36 anammke na watoto 3 hadi leo yako kwa wazazi.
Mambo mengine huwa mnajitakia sana sijui...
mm ni kijana wa miaka 23 nipo arusha ila nimzaliwa wa tanga mjin kipindi nipo tanga nilitokea kumpenda msichana momja nikamuomba tuanzishe uhusiano akakubali na tukawa katika mahusiano mara...
Ukiona mwanamke anakupa penzi akiwa mchafu, basi ameona unastahili uchafu, yaani kaona hauna thamani kabisa, hakupendi sana, au hakupendi kabisa. Labda wewe ni masikini, au kakuona mshamba mshamba...
Habarini wadau wangu,
Binafsi siko poa sana, na hata hapa nimejitahidi tu kuandika ila ki ukweli moody ya kuingia huku kwenye Social media imepungua kidogo. Sababu ni kua mimi nilijiaminisha sana...