First you need Jesus.Bora nimeuona uzi huu!!
Kwa mara ya pili sasa mke wangu anabeba mimba na siku ya kujifungua ikifika, anajifungua watoto wafu.
Kwa sasa nipo Arusha mjini na Mke wangu ni mjamzito.
Je, ni hospitali gani inatoa huduma nzuri za uzazi (mjamzito kujifungua) mjini Arusha? Na gharama zake zikoje?
Msaada tafadhali.
Seliani hospital upo karibu Na stand ndogo Ni nzuri Sana, ila Kama huna Bima Ni gharama Sana pale, ila jitahidi upate Mchungaji mzuri amuombee kabla ya kwenda kujifunguaBora nimeuona uzi huu!!