Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Msichana yeyote aliepelekwa unyagoni kuchezwa harusiwi kutoa siri za mumewe, kwa mfano jinsi anavofanya mapenzi, lakini siku hizi tunapenda kusema na kutangaza hadi ukubwa wa uume wa waume zetu.
Kufanya mapenzi na mume wa rafiki yako, mume wa ndugu yako au jamaa ako ni mwiko, lakini siku hizi ni kawaida sana.
Unatakiwa uoge na ujisafishe vizuri na uvae shanga kiunoni kabla ya kuenda kulala na mumeo, na akitaka kufanya mapenzi nawe umpe mapenzi yako yote, ya nje na ndani, hadi alie au atokwe na udenda, na yote iwe ni siri zenu, lakini siku hizi utasikia mwanamke akisema kwa marafiki zake, mmmm "jana mwenzangu nimempa yote mume wangu, na denda hilo, sikubali shoga angu, nyumba yake ndogo lazma haiache. Hapo sasa mupo wanawake kama 4, na wototo wanasikia yote na watu wanaopita njia wanasikia, mmmm jamani.
Kwenye facebook tunaandika simuangushi kungwi wangu, nakaza buti. Yaani wanawake wa siku hizi hadi tuone danger tunaibiwa mume, ndio tunakumbuka mume anafuata madoido na manjonjo ya mapenzi nje, ndio nasi tunatoa yote, na hapo tunashindana na nyumba ndogo eti sio tunapenda kumlidhika mume. ndio maana hatudumu kwenye ndoa, tubadilike tulidharu mila zetu tukafuata za kizungu lakini tumepotea, tumebaki mayambu yambu,