Bongo.Com
Member
- May 17, 2015
- 52
- 20
Kwa maoni yako toka umekua hadi sasa unahisi kabila lipi Tanzania au Zanzibar linafaa kuoa. Kila kabila lina dosari na tabia zake ila ni lipi lenye afadhali na wanawake wake wana heshima na adabu. Vijana wengi huwa tuna kurupuka kuoa /kuolewa.
So, hebu tuambie kabila lipi kutoka wapi linafaa kuwekwa ndani. (Kabila ni moja ya sifa za kuangalia unapooa /kuolewa)
Tuambie.......!!!! Na utoe sababu kwanini unaona kabila fulani linafaa...!!?
Mada mezani... Asanteni