Mwanaume au mwanamke???

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,807
9,307
ivi kati ya mwanaume na mwanamke ni nani anaweza kuishi maisha ya ki sungle bila mausiano ya mapenzi na asishawishike kirahisi

sasa wadau nijuze ukwel nani anaweza kupotezea mapenz na akadumu kwenye msimamo huo. men or women???
 
Kwa maisha haya bongo nahisi na nadhani si'mda mrefu wanaume tutaweza tu.mtu una stress za kulipa pango,mtoto uliezaa na Mwajuma anataka hela ya kwenda shule,una deni ulikopa na biashara zimekataa huyo mwanamke utakuwa na hamu nae saa ngapi!
 
Back
Top Bottom