Ulicho kitaka ndicho ulicho kipata?

lady mmarangu

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
306
165
Hivi kabla hujaoa au kuolewa!huyo mweza ulie muoa au kuolewa nae,umekuta %100 yuko pafect,nikiwa namanisha kila kitu anajua?mfano mwanamke ulie mwoa anajua shughli zote za nyumbani!!na mwanaume ulioeolewa nae anajua kupangilia mambo yake ya kioffice?? Hebu tushee hii kitu kidogo. nawakilisha ndugu zangu,
 
No one is perfect 100%.o Kila mtu ana mapungufu yake, kama wewe unaweza kumwona mwenzako ana mapungufu jua nawe unayo. Kitu cha muhimu ni kuheshimiana na kuvumiliana mtaishi kwa raha
 
Hakuna alie kamilika mapungufu yako kuna yakurekebishana na mengine sugu inabidi umzowe mwenzio na ukubaliane na mapungufu yake...
 
Kubwa katika ndoa ni kuheshimiana kuaminiana na kupendana wataalamu wa saikolojia wanasema manapokuwa karibu upendo unazidi.
Karibu kwa maana ya kumbatiana kwa karibu kila inapowezekana lakini bahati mbaya ss waafrika wengi baada ya kuzaa mapenzi yanahamia kwa mtoto .
Wakati wa kulala mtoto hulala kati ya baba na mama hivyo mapenzi ya wazazi kuendelea kupungua
 
C wote wanaojua kuvumilia na je kwa nyie wanaume utamvumilia mdada ambae hata kufua chupi yake hawezi kisa kuvumiliana??
 
Kubwa katika ndoa ni kuheshimiana kuaminiana na kupendana wataalamu wa saikolojia wanasema manapokuwa karibu upendo unazidi.
Karibu kwa maana ya kumbatiana kwa karibu kila inapowezekana lakini bahati mbaya ss waafrika wengi baada ya kuzaa mapenzi yanahamia kwa mtoto .
Wakati wa kulala mtoto hulala kati ya baba na mama hivyo mapenzi ya wazazi kuendelea kupungua
Kuheshimiana na kupendana, kuaminiana ondoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom