Mwanamke mpumbavu hutafuta mafanikio ili amtawale mume wake, ili mume wake asiwe na sauti juu yake, nakwambia huko ni kujilisha upepo, hata ungemuweka mumeo chini ya miguu yako katu huwezi kukata...
Mawasiliano mazuri katika uhusiano ni jambo muhimu mawasiliano mazuri (good communication skills) vinasaidia kupunguza msongo wa hasira na mawazo katika akili na mawazo ya wenza.
Jambo dogo kama...
Habari zenu wana JF,
Nawasilisha mada hii niukweli thabiti wa hisia za moyo wangu, naomba mawazo yenu kiukweli matamanio ya moyo wangu hutamani sana wale wanawake walionizidi umri hata kama...
Wash'kaji eeh!
Nimetumia takribani muda wa saa nane na dakika zipatazo 54 kufikiri sana,
Kwa kina na mapana,
Nikapata jibu hapana,
Nikaona vema sana,
Kuwashirikisha wana.
Kwa kifupi hapa...
Alafu mbaya zaidi unakuta inafungwa kila siku nyinyi ni huzuni tu kila leo, hvi hata siku mmesema mnaangalia nyumbani inanoga kweli?
Kwa mfano timu yangu inavyofungwa na kushuka kwenye...
Habari za mwanzo wa wiki wakuu.Wikiendi ya wiki iliyopita nikikuja na hii stori hapa chini.
Mimi ni kijana ninaefanya kazi ktk kampuni moja kwa miaka 3 sasa na nina mke na mtoto 1.Sasa kuna...
Habari za w.end wapendwa.Samahani naomba ushauri.Mimi ni binti (umri 25) niliyetoka kwenye familia ya hali ya kati hivyo pesa kidogo ninayo pata hua napenda kuwafanyia jambo la kuwafurahisha...
AINA ZA NDOA
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!
2. NDOA YA...
Jamani mimi nina aibu ile ya kuzaliwa (introverts) mbele ya mkusanyiko mkubwa wa watu kama vile harusini, kwenye sherehe na hata misibani.
Imeniwia vigumu sana linapokuja suala la kuwa na...
Habari zenu wanaJF, Rejea kichwa tajwa hapo juu.
Nipo hapa kutafuta rafiki wa kike Umri 30 - 39 kwa ajili ya urafiki na kubadilishana mawazo.
Aliye tayari aniPM, ili tuanze urafiki huo haraka...
Nina kama miezi minne au mitano tukiwa na kaugomvi ka yeye kupigiwa simu, na pia kuna ka restaurant nje kdogo ya ninapokaa jamaa yangu mmoja aliniambia muda wa mchana humuona shem hapo na jamaa...
Habarini za jioni wandugu. Kuna baadhi ya familia unakuta beki 3 anafanya kazi zote za ndani kwa 99.9% na unakuta Mama mwenye nyumba yupo, hatukatai kua kuna wamama wenye nyumba hua wanatoka asbh...
Wanajamii habari zenu?
Naombeni mawazo yenu kuhusu hili suala ambalo limekuwa likijadiliwa sana katika radio hasa CLOUDS
kwanini ndoa nyingi kwa sasa zinavunjika mapema si kama enzi za nyuma...
70% ya wanaume wanaochelewa kuoa huwa na akili nyingi na mahalifa makubwa katika jamii hii nimepata kutoka kwa professor mwasha.
Professor mwasha alifanya utafiti huu katika nchi 3 Tanzania...
UJUMBE MAKINI KABISA KWA WANAWAKE USIKOSE KUSOMA TAFADHALI ASEE
ACHA KULALAMIKA DADA MAHESABU UMEKOSEA MWENYEWE.
Msichana ana miaka 22, anafuatwa na mvulana na kuambiwa kwamba anataka kuolewa...
Uzinduzi wa basi la wanawake pekee katika mji mmoja wa China umewakasirisha wanaume wa taifa hilo na kuzua mjadala mkali katika mitandao ya kijamii.
Huduma hiyo mpya itatolewa wakati wa asubuhi...
Mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka
katika tendo.
Kuwahi kumuingilia...
NOTEBOOK.
Baada ya kumaliza sherehe ya ndoa yao, mama wa bibi harusi alimpa binti yake notebook yenye namba mpya ya Akaunti ya benki ikiwa na kiasi cha shilingi laki tatu.
Mama alimwambia hivi...