Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,705
Mawasiliano mazuri katika uhusiano ni jambo muhimu mawasiliano mazuri (good communication skills) vinasaidia kupunguza msongo wa hasira na mawazo katika akili na mawazo ya wenza.
Jambo dogo kama kuendelea kutupatupa boxer hovyo chumbani baada ya kuivua ukijua wazi mkeo anakerwa na hiyo tabia ni namna ya kumpa taarifa kwa vitendo kuwa hauposensitive na mapendekezo yake wala sauti yake.
Au kitendo cha mwanamke uliye ndani ya ndoa kuendelea kuvaa mavazi yasiyo na stara au kutumia muda mwingi na marafiki zako wa kike ambao hawana mindset za kifamilia na ukijua wazi mumeo ameshakukanya kuwa hapendi ni kutoa taarifa kuwa upo katika ndoa au uhusiano kimwili ila kimawazo bado upo single.
Hizi pamoja na tabia nyingine ni dalili tosha kuwa hamuwasiliani vema na mwenza wako.Kanuni ya kwanza katika uhusiano wowote ule kabla hata pesa haijawekwa mbele ni mawasiliano mazuri na bora kati ya wapenzi ambao anapogundua kuna aina yeyote ya kutokuelewana au kupishana kauli na mwenzi wake basi anajitahidi kutenga muda na kuketi naye chini ili amshawishi kuzungumza naye amwambia nini mbaya.
Na wewe unayebembelezwa baada ya kukasirishwa na jambo lolote ni vema kujua katika ndoa hakuna kitu kinachoitwa siri ya moyo kusema kinachokusumbua kichwani ni haki yako kikatiba na ni jambo la lazima sio ombi.Kukalia kimya kero ndogo bila kuzijadili au kuzizungumzia kwa kisingizio kuwa na vitu vidogo hupelekea wenzi kuhisi kupuuzwa na hivyo kujiona wapo kwenye mahusiano kimwili tu ila kimawazo wapo pekee yao.
Jitahidi sana kuboresha mawasiliano na mwenza wako kwa kumwambia kila kero inapojitikeza ili ajue namna ya kuishi na wewe na wewe unaye lalamikiwa fanyia kazi unayolalamikiwa usipuuze kama unaonewa sema ni wapi.
Nitawapa mfano, mimi sipendi mke wangu afanye mazoea ya kupitiliza na mwanaume yeyote asiyekuwa wa familia yake mazoea ni ya kikazi tu au maagizo madogo madogo.
Mambo ya kukaa jioni yeye yupo jikoni anakorofisha inatumwa meseji ya njemba inaleta mazoea ya "mambo,lini utakuja kunitembelea" au njema inauliza mke wangu eti "Mambo,karibu chakula,umeshakula twende lunch sote ?!" hizo mimi siruhusu kwa gharama yeyote.
Tafuta mkeo ndio umuulize huo ujinga ujinga wako huyu ni mke wangu amekula hajala wewe inakuhusu nini nitakunasa vibao. Hii tabia huwa siipendi na nimemwambia mke wangu aache. Sasa kwanini nisimwambie ?! Nikinuna na mimi nikitafuta wa kuleta naye mazoea nikamgegeda si ni uharibifu huo iko wapi hekima yangu kwake.
Hivyo basi ndugu nawasihi imarisha mawasiliano mwenza wako amekukera amekuudhi usimkalie kimya ongea nae taratibu sana na kwa upole akuelewe. Akijirudia muweke sawa tena na ikibidi muwakie ukiona anafanya kusudi lengo tu ni kuhakikisha mwenza wako amejua kuwa unamletea uzembe.
Ukikaa kimya na kuamua kufanya kisasi haumkomoi mtu ila wewe mwenyewe maana huyo unayemfanyia kisasi pengine alihitaji kuelejezwa taratibu angejifunza.
Ni hayo tu namalizia kwa kusema .......learn to communicate .