Mbona hakuna cha kujuta hapo.Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25, ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo kimoja hapa Tanzania, sijaolewa na kwa dini mimi ni mkristo wa kuzakliwa na kubatizwa.
Katika maisha yapo mengi ambayo mtu unaweza kuyafanya na baadae ukajutia kwa nini umeyafanya na akili gani imekutuma uyafanye, binafsi najuta kwani nimekuwa mpumbavu kiasi hiki, najuta kwa nini nilifanya haya yote na kwa akili gani ilinituma niyafanye haya, inawezekana May be it was not planned but why I did this?
Nakumbuka nikiwa secondary nilikutana na handsome boy mmoja ambaye namfahamu hadi kwao, sikujua intention yake by then but I think nilikuwa mtoto. huyu mkaka aliniita sehemu mbalimbali nilikubali kuwa nakutana nae and the guy was very decent til now the guy is decent, hakuwahi kunionesha kama ananitaka kimapenzi kwa kipindi chote ambacho nimekuwa naye, alikuwa ananisaidia sana by then na soon b aada ya kuingia chuo, aliniomba tuwe wapenzi, sikukubali wala sikukataa, nilibaki katikatikati ila nilikuwa naendeshwa na mkumbo wa shule sababu sikujua kama ule muda was right for to make a very huge decesion.
Nilikubali baadae lakini nilibadilishwa sana na upepo wa chuo sababu niliwekeza kwenye bata zaidi bila ya kuangalia mbele yangu, baadae niliamua kumkataa kabisa huyu kaka sababu hakuwa karibu na mimi na kingine nilipata watu wengine ambao walikuwa karibu na mimi na nilikuwa napewa pesa ya kutosha so to me life nililiona zuri sana. yule kaka hakutaka sana malumbano na mimi na baada ya kugundua aliamua kuendelea na maisha yake na naskia ameoa tayari.
Maisha yanaonekana magumu sana kwangu soon baada ya kumaliza chuo na kurudi nyumbani, ueklekeo umebadirika kabisa na sijui mwisho wake ni upi, kama kaka huyu atasoma haya maneno yangu na kuhisi machungu yangu naomba sana anisamehe kwa yote, I wish nirudishe wakati nyuma, kampani na wale wote walionidanganya hawapo tena karibu yangu, nimekaa nyumbani hata kazi sina, sina kitu na sina pakujishikiza, I feel so much pain.
Kitu kingine kinachoniumiza zaidi tena sana naskia yule kaka amefanikiwa sana kwa sasa, napata wakati mgumu sana kama nitapata mtu mwenye maisha ya upendo na mazuri kama yeye, marafiki zangu kila nikiomba ushauri wako wananisema na kunilaumu, najua nishakosea ila naomba ndugu zangu mnishauri nifanye nini? mimi sio wa kwanza kukosea, maisha najua yataendelea lakini je kwa style ipi? najuta sana na kila nikisikia mtu anamuongelea huyu kaka naskia kama nataka kupasuka, nikialikwa harusini nashindwa kwenda sababu nahisi nayeye atakuwepo kwani asilimia kubwa ya watu anaowafahamu nawajua pia, nina wakati mgumu sana naomba mnishauri.
Majuto mjukuu......be responsble for your decisionsMimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25, ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo kimoja hapa Tanzania, sijaolewa na kwa dini mimi ni mkristo wa kuzakliwa na kubatizwa.

teh tehShit happens. Umeshajifunza, ni muda wa kuendelea mbele. Beware huko pm.
teh teh
nimependa hilo onyo la kuwa aware huko PM.
Na mie kidogo nimvagae huko PM, umenitibulia mchongo...............
It is the laws of universe that we have to pay for our mistakes but if you are brilliant enough laws of universe are defiable too!goshiiiii
Unaharibu...Shit happens. Umeshajifunza, ni muda wa kuendelea mbele. Beware huko pm.
Unaharibu...
Ha!haa!!haaaa!!! PM siyo mchezo imemuondoa Tatty JF!teh teh