strong gal
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 271
- 214
Habari za w.end wapendwa.Samahani naomba ushauri.Mimi ni binti (umri 25) niliyetoka kwenye familia ya hali ya kati hivyo pesa kidogo ninayo pata hua napenda kuwafanyia jambo la kuwafurahisha wazazi wangu.
Ikumbukwe mim ndo mkubwa na wazazi wangu wanaishi pamoja
Shida inakuja pale unapotaka kufanya jambo,m hupenda kuwashirikisha wote japo kuna mda mama nampendelea zaidi.
Sasa nilitaka malizia ujenzi kwa babu/upande wa baba,maana baba alijenga akaishia sehem na wadogo zake hawampi support.
Ndipo nifanye ukarabati nyumban kwa babu wa mama na ya wazaz(siyo kwamba ni mbaya kama ni depreciation bas ni 10%-15%).
Lakin mama kanijia juu kwanini nataka kutengeneza kwa babu mimi ni mjukuu sitakiwi kugusa kule.kaongea maneno mengi sana hadi na naumia.
Nimejaribu kumweleza kua m nyumbani ntazidi kuhudumia ila nguvu nyingi nitupie kwa babu kwanza,hanielewi.Ananikumbusha tu jinsi ndugu wa upande wa baba walivyo mtesa afu m naenda tena kuwasaidia.
Hapo hapo baba anasema yaani mwanangu ukinipa support hapo tu basi m ntakua na amani sana.
Jamani nifanye wakubwa zangu.sipendi na sitaki hili jambo lilete mpasuko kati ya wazazi au mm na wao..
samahan kwa mwandiko mbaya