kwasababu sasa hakuna mapenzi ni biashara ya mapenzi watu wanakwenda kuimaslahi zaid
yeuwii mpaka nilewe ndo naweza kusoma maneno yotr haya senk yuu najua hii ni kama hansad za bunge nikiitafuta badae ntaikutaKuhusu hili suala la kwanini ndoa nyingi kwa sasa zinavunjika mapema si kama zamani kwa mtazamo wangu mdogo ni kwamba:
Kwanza tuangalie hizo zama zilikuwa ndoa za wapi ambazo zinadumu na za wapi ambazo hazidumu.
Utakuta ndoa zilizokuwa zinadumu ni Za Africa kuliko za nchi zilizoendelea na hiki ndicho kinachochangia pia ndoa za sasa za Africa kuvunjika kwasababu:
1. Sasa hivi sio kama enzi za nyuma, wanawake wengi wameelimika hivyo kuwa na ufahamu wa kujua haki zake kama mwanamke ila wanawake wa zamani wengi walikuwa hawapelekwi darasani hivyo haki nyingi za mwanamke zilikuwa zimejifunga hazijulikani.
Mwanamke wa zamani alikuwa anajua kuwa ni haki yake kupigwa, kuonewa na mwanamme ila wa sasa hivi baada ya kuelimishwa na sheria kufuata mkondo wanawake wengi wameamka. Nafasi ile ya mwanamke kuvumilia kipigo imekuwa hakuna tena hivyo akikutana na mwanamme huyu mwenye tabia ambayo inavunja haki za mwanamke anajua jinsi ya kujitetea na hivi ndivyo wanaume weengi hawapendi.
2. Wanawake wa nyuma wengi walikuwa ni golikipa akae nyumbani asubiri mume ndio amuhudumie kifedha na matumizi ila wanawake wa sasa wengi ni watafutaji hivyo kupelekea yale manyanya so ya wanaume waliyokuwa wakiwapa wanawake kisa ni kumhudumia sasa mwanamke hakubali. Mwaname alikuwa anauwezo wa kufanya lolote kwa mkewe kwa gia ya kwamba atamnyima fedha za chakula n.k. hivyo mwanamke alikuwa hana budi awe mpole asikose anavyohitaji yeye na watoto.
3. Wanawake wa hapo nyuma wengi ilikuwa ni vigumu saana kugundua maovu ya mume wako anayoyafanya sababu teknolojia ilikuwa haijakuwa ila sasa mitandao ya kijamii imekuwa ikirahisishia wanawake kujua mambo mengi sana, kupata mawasiliano kwa urahisi sana. Hivyo ikiwa mume wake kachepuka na kaonekana na mwanamke fulani au anafanya tendo gani mara moja taarifa zinamfikia na kuchukua hatua, sio enzi hizo hadi huyo atakayemuona mumeo aandike barua inachukua hadi mwezi na pengine isifike.
4. Kutokana na kujua haki zao, na kila mmoja kuwa na uwezo wa kulisha, kuvisha, kupata sehemu ya kuishi Wanawake wengi na wanaume wengi wamekuwa si wavumilivu sababu kama mwanamke anajua hata nikiachana na huyu mwanamke nitaweza kuishi, nitaweza kujilea kwa namna ninavyotaka. Mwanamke wa sasa amekuwa akigombana na mume wake anaweza sema Niache uone kama sitaishi, nitaishi sio wewe unaeniweka mjini.
5. Kutokana na Biashara za Kimataifa, Utandawazi wanawake na wanaume wamekuwa wakiiga tabia za Magharibi na za nchi nyingine sababu kwa sasa imekuwa ni rahisi sana kumuona Rihana msichana mrembo kavaa nini, je kapendeza kuliko enzi hizo ulikuwa huwezi ona picha wala video hizi kwani hata luninga ilikuwa unalipia sehemu kuangalia, Simu za mkononi zenye mtandao hakuna hivyo utakayemuona hapo karibu Role model wako anakuwa ni jirani yako au mtu katika Familia yako.
6. Sasa hivi wanawake na wanaume wamekuwa wakishiriki sana katika tendo la ndoa kabla ya kuoa na kuolewa. Hivyo pale anapoingia katika ndoa hakuna jipya analoenda kuliona. Ila enzi za nyuma ilikuwa mume na mke mnaowana bado hata tendo la ndoa hamjakutana. Mume ndio kwaanza anayemvunja bikira mkewe na kupelekea kuwa na mapenzi moto moto, kuona kitu kigeni ndani ya miili yenu.
Ila kwa mambo hayo machache niliyoelezea ningependa kusema kuwa, hali hii na huku tunapokwenda ni ngumu kubadilika bali ndipo itazidi kuendelea kutokana na kukuwa kwa Teknolojia, Kukua kwa utandawazi, watu wengi wakizidi kujua haki zao (wanawake wengi wamekuwa wasomi kwa sasa na wamezidi kuwa wagunduzi zaidi ya wanaume)
Hii inapoelekea ni wanawake wengi kuwa wasio wenye ndoa na wanaume wengi kupata wakati mgumu nani wa kuwaoa kwasababu ya kuhofia huyu mwanamke aliyeelimika sana. Wanaume wengi ni wenye tabia ya kupenda kuheshimiwa, kusikilizwa hata kama ni jambo la kipuuzi, ila mwanamke wa sasa amekuwa akimchallenge mwanaume. Tutakaa tukilaumiana ila tutakiwa tuamini kuwa hakuna maendeleo yasiyokuwa na athari zake. Maendeleo yatatuletea mambo mengi na si haya ya ndoa kuvunjika tuu na mengine mengi.
MIFANO MICHACHE TUU ILIYOLETWA NA MAENDELEO AFRICA:
1. Kujua kuwa maalibino wanauliwa si wanapotea. Sisi enzi hizo sababu vyombo vya habari havikuwa kila mahali na technolojia ilikuwa mbaya hivyo tulikuwa hatujui kuwa wanuliwa.
2. Hatukuwa tunajua kuwa ndoa za jinsia moja zipo, nahii inapelekea hata nchi za Africa kuathirika kwa hili na itaendelea kuathirika kadri siku zinavyokwenda.
3. Utoaji mimba hovyo. Enzi za nyuma hospitali zilikuwa chache san asana watu watatoa mimba kupitia dawa za kienyeji kwa waganga wa kienyeji ila kwenda hospitali ni suala gumu kwani ni umbali mrefu, pia ni ngumu.
4. Picha za ngono. Sasa hivi hata watoto wamekuwa wakijifunza kujamiiana kwa aina tofauti. Picha za ngono zimekuwa zikisambaa mitandaoni ambapo enzi hizo hazikuwepo utapata wapi simu ya mkononi? Utapata wapi video za ngono? Waafrika wengi enzi hizo hawakuwa wanajua TONGUE KISS ila kupitia mitandao wamejifunza.
5. Wizi wa aina tofauti tofauti mfano ya mitandao ambayo hatukuwa tunaijua. N.k.
Kwa maelezo yako chanzo ni cha kuvunjika kwa ndoa nyingi siku hizi ni MWANAMKE.Kuhusu hili suala la kwanini ndoa nyingi kwa sasa zinavunjika mapema si kama zamani kwa mtazamo wangu mdogo ni kwamba:

yeuwii mpaka nilewe ndo naweza kusoma maneno yotr haya senk yuu najua hii ni kama hansad za bunge nikiitafuta badae ntaikuta
Kwa maelezo yako chanzo ni cha kuvunjika kwa ndoa nyingi siku hizi ni MWANAMKE.
Siku zinabadilika na mambo yanabadilika pia
SISOMI..... SIOLEWI WALA SITEGEMEI KUOLEWA SO WHY SHOULD I DO SO MKUU SAA HIZI NASOMA HABARI ZA VIDEO YA CHURA YA SNURA HAHAHAHATatizo la sisi watanzania wengi ni wavivu wa kusoma....ndio maana hata muda wetu tunautumia vibaya wkt wenzetu wanautumia kusoma vitabu mbali mbali
Zinavunjika kwa sababu ni wakati n zama za mwishoWanajamii habari zenu?
Naombeni mawazo yenu kuhusu hili suala ambalo limekuwa likijadiliwa sana katika radio hasa CLOUDS
kwanini ndoa nyingi kwa sasa zinavunjika mapema si kama enzi za nyuma zilikuwa zinadumu?
Ila ndo sababu kuu, hiyo inayoitwa haki inawafanya baadhi ya wanawake wasahau majukumu yao kwa kigezo cha haki.Chanzo ni kujua haki...kuwa na upeo zaidi kuliko kipindi cha nyuma. sasa hakuna mwanamke anayekubali kunyanyasika, enzi hizo eti kuku kidari ni cha baba pekee mama haruhusiwi kula (kwa wachaga) - sasa hivi ukimwambia mwanamke hivi lazima uwe na sababu zinazoeleweka.
Elimu za Unyanyasaji wa kijinsia zinatolewa na watu wanauelewa tosha sasa.
Temptations...
zamani kulikuwa na radio moja tu 'Radio Tanzania'
upende usipende utaisikiliza
sasa kuna radio tele unachagua...
hivyo hivyo...
siku hizi ni rahisi kuchagua...hivyo kimoja ulichonacho ngumu kukithamini
Ila ndo sababu kuu, hiyo inayoitwa haki inawafanya baadhi ya wanawake wasahau majukumu yao kwa kigezo cha haki.