Unashabikiaje timu moja na mpenzi wako?

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
16,158
14,153
Alafu mbaya zaidi unakuta inafungwa kila siku nyinyi ni huzuni tu kila leo, hvi hata siku mmesema mnaangalia nyumbani inanoga kweli?

Kwa mfano timu yangu inavyofungwa na kushuka kwenye nafasi ya kuwa mabigwa (mnyama) kiukweli napata faraja kwa kuwa the baba watoto ni TIMU YA INTANESHINO wakifunga furaha kwangu maana yeye ana raha

Sasa hata yale matani ya nyinyi wa mchangani hauwezi kuyasikia kama wote nyinyi wa kwenye mchanga.

Naipenda Simba.
 
Mkiwa timu moja ndo safi maana kuna sku mna eza taniana alaf mkaharib hali ya hewa
 
Alafu mbaya zaidi unakuta inafungwa kila siku nyinyi ni huzuni tu kila leo,hvi hata siku mmesema mnaangalia nyumbani inanoga kweli?
Kwa mfano timu yangu inavyofungwa na kushuka kwenye nafasi ya kuwa mabigwa (mnyama) kiukweli napata faraja kwa kuwa the baba watoto ni TIMU YA INTANESHINO wakifunga furaha kwangu maana yeye ana raha
Sasa hata yale matani ya nyinyi wa mchangani hauwezi kuyasikia kama wote nyinyi wa kwenye mchanga
Naipenda simba.
daah uingereza tuko timu moja issue tukija hispania kwe el classico yeye kwa ronaldo mi kwa messi basi walivyokaa nne ikbidi nisishangilie ili nisizid kumuumiza aisee
 
Hongera kwa kuwa na baba watoto,vipi mieleka Aj style anaweza akamnynganya mkanda roman reign?
Daaah
We jamaa ume ni impress kshenz yaan na mambo ya WWE

Kwa nlivo ona ile Raw ya jana nadhan Aj styles (the phenomenal) hawez kumpiga Roman, japo itakuwa mech kali, nahis AJ ni mwepes na ana jituma lakin ,Roman ana nguvu, Extreme Rules itakuwa poa, ila ngependa AJ ashnde kwan namkubal toka ako TNA, likn nadhan kushinda kwake ni ngum
 
Unamaanisha tanzania unapenda simba, na ulaya anapenda man united au vipi
 
Hivi kwanini roman reign ana hater wengi,akiongea tu unaona kama anazomewa,
aisee naona hana nyota tu maana c mkorofi wala hanaga mda wa kumfanyia fujo mtu kama hajachokozwa but cjui kwann maana hata mimi huwa nashangilia opponents wake kwe mechi labda avheze na rusev ndo namshangilia but cjui kwann simpend kivile maana jamaa kama kazi anapiga haswaa
 
Hongera kwa kuwa na baba watoto,vipi mieleka Aj style anaweza akamnynganya mkanda roman reign?
Aisee wa kumtoa mkandda roman labda cena tu tena kwa mbinde...aj acha afurauish main event hiyo....halafu naisubiri kwa hamu money in the bank
.......some few month to come
 
Daaah
We jamaa ume ni impress kshenz yaan na mambo ya WWE

Kwa nlivo ona ile Raw ya jana nadhan Aj styles (the phenomenal) hawez kumpiga Roman, japo itakuwa mech kali, nahis AJ ni mwepes na ana jituma lakin ,Roman ana nguvu, Extreme Rules itakuwa poa, ila ngependa AJ ashnde kwan namkubal toka ako TNA, likn nadhan kushinda kwake ni ngum
Afazali mapacha mmejitokeza mlip addicted na wwe....kila siku sie tupp nayo unadownload punde torrent released.. . Yani siku natamani nkashuhudie wreslemania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom