Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Wash'kaji eeh!
Nimetumia takribani muda wa saa nane na dakika zipatazo 54 kufikiri sana,
Kwa kina na mapana,
Nikapata jibu hapana,
Nikaona vema sana,
Kuwashirikisha wana.
Kwa kifupi hapa kitaa kuna mwana ni jirani yangu hapa nilipopanga maeneo ya @Karakata_Airport, Kata ya kipawa, karibu na relini,Ukishavuka transit_motel hapa anatarajia kuoa mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.
Ila kiukweli mwana 'anahanya' kinoumah!Yaani karibia mwaka mzima anahangahika kutafuta mahitaji ya ndoa,kama vile mahari na mazagazaga mengine ya kiboyaboya,Eti sijui, "koti la babu, kilemba cha bibi, shuka ya shemeji, na pumbapuba kibao"Ambazo zinamkosti mwana kinoumah hadi namwonea huruma!
Sasa kwa mantiki hii mie kwa upande wangu nime_develop wazo 1 matata hapa, nimeona nije kuomba maujanja na mbinu m'badala za kuniwezesha kubeba goma bila mahari na bila kusumbuana na watu kuhusu michango.
Lengo langu ni aje shekhe kutia ubani na mashaidi wawili tu, yani ndoa yangu ije igharimu kama buku 14 na mia tano tu, ngoma itambae!
Maana'ke mimi hizi gharama zisizokuwa na kichwa wala miguu hizi miye na bichwa langu la kuwa kama tofali nd'o nitazidi kukonda kabisa!
Naamini humu wapo wazee wa mbinu m'badala humu, so tupeane maarifa ya hicho kipengele cha miye kubeba mke bila mahari ili nioe fasta mwezi huu wash'kaji!
Daaaaaaaaaaaaaaah!
Angalizo:
Mimi ni mwanaume wa mkoa kabisa,
Wala sio wa lile jiji letu lile.