Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
Mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka
katika tendo.
Kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romance/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao.
Hii ni kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha.