Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
Habarini za jioni wandugu. Kuna baadhi ya familia unakuta beki 3 anafanya kazi zote za ndani kwa 99.9% na unakuta Mama mwenye nyumba yupo, hatukatai kua kuna wamama wenye nyumba hua wanatoka asbh na kurudi jioni kama waume wao cha ajabu akifika nyumbani utamkuta yuko busy na simu na beki 3 ndiye anapanda na kushuka.Haya mazoea si mazuri ni sawa goalkeeper kuliacha goli wazi wakati mpira unaendelea yeye anaenda pembeni kupiga story.