Wanaume wanaochelewa kuoa wana akili nyingi kuliko wanaowahi kufanya hivyo

KUMBAMBANDILA

Member
Feb 21, 2016
86
62
70% ya wanaume wanaochelewa kuoa huwa na akili nyingi na mahalifa makubwa katika jamii hii nimepata kutoka kwa professor mwasha.

Professor mwasha alifanya utafiti huu katika nchi 3 Tanzania, Canada na Sweden.

Hoja kwa wana Jamvi katika jamii zetu ni kwel lipo. Hili?.
 
Weka publication from peer reviewed journal
 
70% ya wanaume wanaochelewa kuoa huwa na akili nyingi na mahalifa makubwa katika jamii hii nimepata kutoka kwa professor mwasha.

Professor mwasha alifanya utafiti huu katika nchi 3 Tanzania, Canada na Sweden.

Hoja kwa wana Jamvi katika jamii zetu ni kwel lipo. Hili?.
Kimtazamo mmi mwenyewe naunga mkono hoja,ukizingatia mwenyewe npo single na itabidi nichelewe zaid
 
Naombeni niseme kitu kimoja. hapa naweza kuwa sahihi au nikawa nimepotoka lakini kuna mfanano wa ajabu kati ya hawa watu watatu
1. Huyu KUMBAMBANDILA
2. monika 2
3. @famaso
Wote haya ni new members japo no 2 ana post nyingi kidogo
Wote DOB ni 1st of January 1970 (46yrs old)
Hahahahaaa
Sasa unamaamisha nn mkuu, kuhisiana na mada iliyopo mezan
 
Wanachelewa kutokana na suala la kuwa wanakuwa wanasoma na kufanya tafiti hivyo muda mwingi kutumia katika mambo hayo lakini sio kuwa wana akili sana na hivyo akili hizo ndo zimewafanya wasioe mapema. Na kingine kusoma sana wakati mwingine kunafanya hata kuona hakuna umuhimu wa kuwa na familia. Mtu anawaza research, publication, makongamano, workshop, nk muda wote wazo la kuoa/ kuolewa linaweza lisiwepo kabisa.
 
Back
Top Bottom