Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke mmoja katika muungano wa milki za kiarabu amepigwa faini na kurudishwa kwao baada ya kupatikana akiingia katika faragha ya mumewe. Vyombo vya habari vinasema kuwa mwanamke huyo alichukua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni ushauri, Kusema kweli nilikuwa nawashangaa wadada marafiki wanaopokezana wapenzi kama mbio za kijiti ila leo yamenifika.Ninae shost wangu flani hivi yeye na mpenzi wake wameshindwana...
3 Reactions
125 Replies
12K Views
Nashindwa kumuelewa jirani yangu na ananifanya nisiwe comfortable.... Nyumba ninayoishi tupo watano kila mtu na kwake anaijtegemea wote ni vijana na hakuna mwenye familia. Tupo wadada wawili tu...
3 Reactions
190 Replies
19K Views
Eti ni kauli gani mbaya uliyowahi kuambiwa na mpenzi wako au ex wako na ulitamani ardhi ipasuke utumbukie
7 Reactions
337 Replies
48K Views
Unajua kabisa tena fika kuwa umeondoka kwenu kuja kuungana na Mimi ili tuendeleze Ukoo na tupate faraja lakini matokeo yake sasa umekuja kuishi na Mimi ni Karaha tupu. Hasira nilizonazo naomba...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ni dhahiri kabla ya kuoa tunakuwa na rekodi za kutofautiana za mahusiano ya kimapenzi tunayoyafuta ili kuanza mahusiano rasmi ya mume na mke ama ndoa. Swali kubwa linalojitokeza baada ya kuoa...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
Wanaume huwa hamliziki?Aliyefanya naye nimemdhidi uzuri. Tena rafiki yangu wa karibu. Tena kitandani kwaangu. aibu sana.
4 Reactions
251 Replies
42K Views
Tangu nakua niligundua kuwa napendwa sana na watoto wadogo. Yaani hata yule mtoto anayependa kukataa watu mi nikimbeba anafurahi,au kama alikuwa analia nikimbeba analia ,nikipita sehemu yenye...
3 Reactions
77 Replies
16K Views
n
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habar wana jf poleni na ugumu wa maisha. Niende moja moja kwenye kiini. Ni kwamba kwa wakati uliopo yaani miaka ya usasa imeibuka vita kali kati ya me na ke hapa tz. Ugomvi mkubwa kati ya...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
KEEP YOUR HUSBAND . EVERY WOMAN SHOULD READ THESE 30 RULES FOR GODLY WOMEN----------- 1). Never raise your voice for any reason to your husband. Its a sign of disrespect.(Prov 15v1) 2). Don't...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna msemo usemao, mama ni mama na mtoto hakui kwa mama yake. Ni sawa ila tuje kwenye hoja. Kuna mabinti wakubwa hadi miaka 30 ila wanapenda kufuatana sana na mama zao hasa kwenye misherehe...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Huenda Haya Maneno Yana Ukweli ndani yake.............
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Nilipata uhamisho wa kikazi kama mwaka hivi hivyo nakaa wilaya tofauti na mke wangu ila naenda nyumbani mara mbili kwa mwezi tuna watoto wawili ila nachoshangazawa nae nikimtumua msg whatsp...
11 Reactions
129 Replies
19K Views
Nilikua na rafiki yangu tuliefahamiana tangu shule ya msingi.
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wanaume wengi wamekua wakisita kuoa wanawake waliowazidi umri, lakini napenda nitoe maelezo mafupi yanayo nifanya mimi nisione hilo kuwa ni tatizo. Mara nyingi huwa tunaoa wanawake tunaowapenda...
2 Reactions
156 Replies
39K Views
Nilisoma thread ya #wrightbrian with heading"Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi" I asked my self like how will you(mwanamke) feel when you found /caught your...
15 Reactions
79 Replies
9K Views
Kama ulikuwa uwafahamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu.Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi, pesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapi ukiwa na pesa ya kutosha...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Eh mzungu, nakujia kwako jmosi hii tulivu, baada ya kugonga kitimoto roast ya ukweli, ingawa kuna member humu anajitahidi kweli na mada zake za kuponda mdudu huyu, ingawa ulishafanya tafiti za...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Wakuu nimempa mimba mtoto wa watu. kutokana nampenda sana huyu binti nikaona isiwe tabu nifanye process za kufunga nae pingu za maisha japo ilikuwa ngumu kwa wazazi wake kukubali moja kwa moja...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…