Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,484
Wanaume wengi wamekua wakisita kuoa wanawake waliowazidi umri, lakini napenda nitoe maelezo mafupi yanayo nifanya mimi nisione hilo kuwa ni tatizo.

Mara nyingi huwa tunaoa wanawake tunaowapenda. Hivyo unaweza ukakutana na mdada kwa mara ya kwanza akakuvutia kwa jinsi alivyo, kitu cha kwanza huwa ni pengine kutaka mahusiano lakini sio kujua umri, unaweza ukampata na mkawa nae kwa miezi kadhaa bila kuulizana umri.

Hoja nyingine ni kuwa kuna wadada wengine unakuta ana umbo zuri ambalo huonekana kama bado ana miaka 18 wakati kikweli ana 25 wakati huohuo mvulana wake ana umbo kubwa utadhani ana miaka 35 wakati kiukweli ana miaka 22.

Sasa hapa kuna ubaya gani kuoa mdada wa 25 baby face wakati mkaka una 22?

Afu mdada akikuzidi ni mtamu sana kitandani, anaheshima, ametulia, anajua majukumu yake, anajua ku care.

Mada hii simpigii debe mtu yeyote kwa sababu kila mdada ni mkubwa kwa mkaka fulani.
 
Hata mie umri sioni tatizo, ila kama kakuzidi kipato koh koh take care....
 
Ila hakikisha ndugu hasa mawifi hawajui kuhusu tofauti zenu za umri...utaambiwa umerogwa...
 
Ila hakikisha ndugu hasa mawifi hawajui kuhusu tofauti zenu za umri...utaambiwa umerogwa...
Siri itakuwepo muda penzi likiwa jipya tu
likianza kuchakaa huyu huyu mme ndo ataanza maneno
"kunguru wa kike nilikuoa bahati mbaya ndo maana umenizidi umri, unanizeesha"
kama mme ndo alitongozwa tutajua, uuuh sie antenna tunazielekeza tu huko kupata maneno
 
Hata mie umri sioni tatizo, ila kama kakuzidi kipato koh koh take care....

Hata hii ya mwanamke kumzidi mwanaume kipato watu huwa wanaigopa tu, jamaa yangu mmoja alikua wa kawaida kabisa namaana alikua hana pesa,lakini tulikua tunashangaa mdada mmoja mwenye nguvu za kiuchumi na anaetoka familia yenye ruzuku za kutosha alikua anmpenda jamaa yetu ni balaa,mdada alikua akimfadhiri jamaa kwa kila kitu.Hata hivyo bado alikua hana confidence.Kitu kilichotuvunja mbavu ni mdada alimpa hela kwa siri akalipe mahali(mahari) na hadi leo ni mke na mme wanapendana hatari.Hivyo inategemea kiwango mnachopendana.
 
Ila hakikisha ndugu hasa mawifi hawajui kuhusu tofauti zenu za umri...utaambiwa umerogwa...
Ha ha haa inategemea mkuu kuna watu wamejaaliwa kuwa madada wastaarabu sana yaani wanawapenda sana wake wa kaka zao nawengine hawana time na aisha ya wifi zao.
 
Ni kma kuna kaukwel fulan hapa

Mkuu kitu ambacho wanaume huwa kinachotufanya tumtokee mdada ni muonekano wa nje,yaani sura na umbo kwanza.Baadae huulizi vitu vingine kama kabila na dini kama mtu anatafuta mke hii ni kwa ajili ya vizuizi vya kidini katika kuoana na kabila labda ni mambo ya kufahama kama mila zitaweza kukubaliana,mengine ni kama ameolewa au bado ili usije ingia anga za watu,hatahivyo haya huwa baada ya kuwa amekuvutia kwa muonekano wake.Sasa kama amekuvutia hapo suala la umri halijaonekana.inawezekana haonekani kuwa amekuzidi age,ila kama mmeshaanza mahusiano mnaweza kuulizana tu miaka yenu kama mazungumzo tu ya kawaida na haitaathiri chochote mkikuta mdada yuko juu ki age.kwa kuwa mnapendena mtaendelea na raha enu.BOBY Brown alizidiwa miaka miwili na mke wake marehem WHITNEY Huston.
 
Age ain't nothing lakini kwa swala la kuoa you gotta be concerned with age difference..!

Hawa wenzetu miili yao inapevuka na kukua haraka. Ni vizuri kuwe na gape kidogo, angalau miaka minne hadi kumi.
 
Back
Top Bottom