Sababu 6 kwanini huolewi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
SABABU 6 KWANINI HUOLEWI.jpg

Huenda Haya Maneno Yana Ukweli ndani yake.............
 
Hatufanyi yote hayo na bado tuko single.

Kama ni hivyo basi we uko " too selective". Jaribu kushusha vigezo dada yangu utailewa tu. Mi sidhani kama mwanamke anaweza kukosa mume wa kumuoa zaidi ya vigezo tough alivyojiwekea na kubakia na watu wachache anaofikiri ndo wanaweza kuwa mme.
 
Hawa viumbe wamekuwa wa ajabu sana ck hizi wanatufanya tunashindwa kufanya maamuzi sahihi
 
Ingawa ni mwanammke lakin kwenye hili nakubaliana nalo,wapo baadhi ya wanawake yani anajipitisha pitisha sehemu waliokua wanaume mpaka unaona AIBU wewe,au na nguo anazovaa mtu wa hivyo anavaa ki asara asara tuu,make up ndio
usiseme nyusi anatoa kama mwezi mchanga halafu anakoleza wanjaa,eye shadow ndio unaweza ukakimbia,nenda kwenye mkorogo utachoka na sijui kama wanajua wanajivunjia bahati zao,wanaishia kuzeeka nakusema yule nimeshatembea nae
naamchukue tuu nishalala nae so what?
 
Hiyo attachment mnayochangia mbona mimi siioni?? Nadownload inakoishia sipajui
Ingawa ni mwanammke lakin kwenye hili nakubaliana nalo,wapo baadhi ya wanawake yani anajipitisha pitisha sehemu waliokua wanaume mpaka unaona AIBU wewe,au na nguo anazovaa mtu wa hivyo anavaa ki asara asara tuu,make up ndio
usiseme nyusi anatoa kama mwezi mchanga halafu anakoleza wanjaa,eye shadow ndio unaweza ukakimbia,nenda kwenye mkorogo utachoka na sijui kama wanajua wanajivunjia bahati zao,wanaishia kuzeeka nakusema yule nimeshatembea nae
naamchukue tuu nishalala nae so what?
 
wengine rangi mbili Mara Kanisani, Mara DISco, Mara kavaa vimini mara kesho Kavaa nguo ya heshima, Mara unamouna natural ukipotea siku mbili unakuta Fake, keshokutwa natural tena.

Huu mchanyato wa hatare.
 
Back
Top Bottom