Women know their limits, girls do not

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,353
3,589
Nilisoma thread ya #wrightbrian with heading"Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi"

I asked my self like how will you(mwanamke) feel when you found /caught your man doing that to his workmate?
The bottom line is wanandoa wengi wanaingia kwenye ndoa wakati hatujamaliza ujana HATUJUI KWAMBA KUNA LIMIT (BOUNDARY)YA KILA KITU.

Either you had a boyfriend and unfortunately akaoa mwanamke mwingine and you still think you cant move on na unaamua kuolewa tu sababu umri unaenda au mtu wa kukuoa yupo but still mawasiliano na your ex ni maradufu kuliko unavyowasiliana na mumeo/boyfriend wako. Wanawake wengi bado wanahisi ex bf wao wanawapenda kuliko waume au maboyfriend zao hivi have u ever think how it feels ugundue mumeo au mpenz wako anawasiliana mara nyingi zaidi na ex wake kuliko anavyofanya kwako?

''Eti he is just afriend",gal plz how come u could not be THAT friend indeed back then na leo ndo urafiki ukolee hvyo?
Each after every hour call or msg what else do u talk chat hasa? Mimi sipingi kuongea au kua na uhusiano na ex wako hususan kama mliachana kwa mema n besides this is life "u never knw"WOMEN/MEN KNOWS THEIR LIMITS,girls/BOYS don't

2)tools and your old lifestyle
Una boyfriend and still laptop/simu au pad yako umejaza video za mapenz ya jinsia moja/kus.agana how do u think he feels?Lets say u were one of them najiuliza kama hukua ready kwa new challenge kwann umeamua kuingia kwenye mahusiano/ndoa?You had dildos and strapons before and now you are dating/married but still you have them kwa kujificha '' WOMEN/MEN KNOWS THEIR LIMITS,girls/BOYS don't

3)social networks
Una account zako lets say facebook and badoo,U still behave the same way as you used to be. Naked pictures and all that slut stuffs ,what do u expect?Heri facebook but still having an active acoount on badoo,bi.tch plzDo u knw wht badoo is t for?watu wanajiuza. Do u knw y una acoount badoo?dont tell me rafiki zako walikushauri if I found out you have badoo account and we done for gud(hope u enjoy yo badoo life) girls gotta learn how to be women now,

NDOA/MAHUSIANO SIO FASHION if you are not ready don't force yourself ndoa haina trial wala rehersal ndo maana wasichana wengi hawafikirii marriage all they think is about WEDDING nitapendezaje na shela la dubai? How big my wedding will be? What are those show offs for? Men need someone to count for not just for sex but how my family will be even after am dead start being countable and stop being loose ball,show offs does not pay the bills

WOMEN/MEN KNOWS THEIR LIMITS,girls/BOYS don't(SAMAHANI KWA NILIYEMKWAZA BUT HOPE GIRLS CAN LEARN A THING O TWO)
:popcorn:
 
Mo'Anna

Member
Jun 10, 2015
83
63
Watu wanaingia kwenye mahusiano bila kujijenga kisaikolojia..wanaingia sababu eti umri umeenda au sijui apate mtu wa kumpikia nyumbani au kwa upande wa wadada wanaingia just because marafiki zake wote wameolewa..au ili mradi tu nae aitwe mrs fulani. Lakinj vijana wengi wanaingia kwenye ndoa bila na kuwa na sababu ya msingi kitu ambacho kinapelekea baadae kuanza kucheat, kudundanda nk.

Mm ningeshauri usiingie kwenye ndoa kwa sababu zisizokuwa na mashiko ingia kwenye ndoa sababu umejipanga na upo tayari kuingia kwenye maisha mengine. Jijenge kisaikolojia kwamba mm nao ni mke au mume sio wa kurudi saa nane za usiku..si wa kuvaa nguo zisizo na heshima..sio wa kuonekana natembea na wanaume/wanawake hovyo..na mambo km hayo.
Kama haupo tayari husiingie kwenye ndoa!
 
Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
31,340
90,670
Marriage is a calling just like being a teacher, doctor etc. Ukishajua purpose yako kwenye ndoa basi hutojuta wala hutofanya ujinga kama uliosemwa.

Tatizo ndoa imekuwa kama fashion, tunaingia tu kwenye ndoa simply because umri unaenda na tunataka tu kuvaa shela. So Unaolewa kama kuondoa gundu afu ndani ya siku chache unaanza kuona ndoa kama ni zigo la chuma.
Ingia kwenye ndoa ukimpata mtu sahihi, na ukiwa na utayari kabisa wa nafsi wa kuingia kwenye ndoa na ukiwa mature enough kuhimili mikikimikiki ya ndoa.
 
Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
840
Maofisini siku hizi kupakatana,kukumbatiana bila sababu eti wanaenda na wakati imekuwa kawaida

Nakubaliana na mleta uzi;kuna vitu kila mwanandoa anatakiwa kuviacha baada ya kuingia ndoani tena vingine vya ziada kulingana na aina ya mwenzi uliyenaye
 
juan moses

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
2,401
2,465
Tell 'em bro.
Once you decide to marry make sure you have no after/2nd thoughts.
Yani it should be beyond reasonable doubt that it is him or her.
Get rid of all stuffs that will strangle your marriage.
If you cant get rid,dnt get married until you do...Even if you get to 70 years old single...
 
gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,353
3,589
Watu wanaingia kwenye mahusiano bila kujijenga kisaikolojia..wanaingia sababu eti umri umeenda au sijui apate mtu wa kumpikia nyumbani au kwa upande wa wadada wanaingia just because marafiki zake wote wameolewa..au ili mradi tu nae aitwe mrs fulani. Lakinj vijana wengi wanaingia kwenye ndoa bila na kuwa na sababu ya msingi kitu ambacho kinapelekea baadae kuanza kucheat, kudundanda nk.
Mm ningeshauri usiingie kwenye ndoa kwa sababu zisizokuwa na mashiko ingia kwenye ndoa sababu umejipanga na upo tayari kuingia kwenye maisha mengine. Jijenge kisaikolojia kwamba mm nao ni mke au mume sio wa kurudi saa nane za usiku..si wa kuvaa nguo zisizo na heshima..sio wa kuonekana natembea na wanaume/wanawake hovyo..na mambo km hayo.
Kama haupo tayari husiingie kwenye ndoa!

Nimependa sana uchanganuzi wako mkuu
Kujitambua ni kutu muhimu sana otherwise kinacost maisha yako
They say kosea kila kitu sio kuoa au kuolewa
 
gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,353
3,589
Marriage is calling just like being a teacher, doctor etc. Ukishajua purpose yako kwenye ndoa basi hutojuta wala hutofanya ujinga kama uliosemwa.

Tatizo ndoa imekuwa kama fashion, tunaingia tu kwenye ndoa simply because umri unaenda na tunataka tu kuvaa shela. So Unaolewa kama kuondoa gundu afu ndani ya siku chache unaanza kuona ndoa kama ni zigo la chuma.
Ingia kwenye ndoa ukimpata mtu sahihi, na ukiwa na utayari kabisa wa nafsi wa kuingia kwenye ndoa na ukiwa mature enough kuhimili mikikimikiki ya ndoa.

Kosea kila kitu sio kuoa au kuolewa
 
gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,353
3,589
Tell 'em bro.
Once you decide to marry make sure you have no after/2nd thoughts.
Yani it should be beyond reasonable doubt that it is him or her.
Get rid of all stuffs that will strangle your marriage.
If you cant get rid,dnt get married until you do...Even if you get to 70 years old single...

Maono makini sana haya,
 
15 Reactions
Reply
Top Bottom