lovebitelol
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 964
- 972
Habar wana jf poleni na ugumu wa maisha. Niende moja moja kwenye kiini.
Ni kwamba kwa wakati uliopo yaani miaka ya usasa imeibuka vita kali kati ya me na ke hapa tz.
Ugomvi mkubwa kati ya warembo wenye stress za kuolewa wale waliopitisha umri wa kuolewa hawajaolewa, wale waliochezewa na kuachwa(napiga nasepa) masingle mother(waliozalishwa na kutoolewa) na mavicheche na wale ambao kimvuto hawako vizuri ugomvi huu ni dhidi ya wanaume wote kwa ujumla.
Mifano mingi inajionyesha wazi wazi kama kesi ya msichana alipigwa picha gest dakawa, ishu ya jide na gadner, thread iliyoandikwa hapa jf ya mume aliyempa mimba mdogo wa mke mtu. Hii ni mfano michache tuu ipo mingi sana. Me na ke tukae chini tukate mzizi wa fitina na kufuta hii chuki ya hawa watu dhidi ya me.
Mwanamke ambaye unajijua ipo siku utaolewa kaa chini tarakar i kwa kina unataka nini kwenye maisha yako, habar ya kuishi maisha ya kuigiza na maringo yasiyo na msingi wowote waachie akina jlo na beyonce. Habari ya kuacha paja nje na kuchuna hela za watu acha chini. kwa taarifa yako wanaume ni wajanja sana, utaleta maringo ya kijinga na kudai hela na mwanaume atatoa vyote huku akikusifia ila kichwani anakuelewa wewe sio wife material, na wewe msichana ukichokwa unaachwa alafu unakuja kulalamika hapa jukwaani.
Mara oo wanaume wote ni sawa, wanaume wanyama, wanaume ni mbwa na n.k shauri yenu, najua utakebei kuwa hata kama hutoolewa utapata mtoto na utamlea peke yako, mind you baada ya miaka ya uzuri wako kukata utakuja kujua mwanamke hawi mwanamke bila ya kuolewa na kuwa na mume.
FIKIRIA MARA MBILI.