mhogo mtamu3
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 344
- 250
Eti ni kauli gani mbaya uliyowahi kuambiwa na mpenzi wako au ex wako na ulitamani ardhi ipasuke utumbukie
Amemkojoza miaka 15Eti ni kauli gani mbaya uliyowahi kuambiwa na mpenzi wako au ex wako na ulitamani ardhi ipasuke utumbukie
Kwani ni kweli? Au mzushi tu huyoNina kibamia.....
ha ha haKwani ni kweli? Au mzushi tu huyo
Kapicha pliz
Hebu Kapicha nione kama kanafaa kupikia mlendaha ha ha
kweli aiseeee.
teh teh tehHebu Kapicha nione kama kanafaa kupikia mlenda
Wamekuaje some peopleTeh! somepeople
Uongo uliovuka mipakaAtakufa kwa ajili yangu.
Kapicha ili ukasaminisheHebu Kapicha nione kama kanafaa kupikia mlenda