UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,397
- 1,011
Nilipata uhamisho wa kikazi kama mwaka hivi hivyo nakaa wilaya tofauti na mke wangu ila naenda nyumbani mara mbili kwa mwezi tuna watoto wawili ila nachoshangazawa nae nikimtumua msg whatsp huchelewa kujibu while yuko hewani mfano jana nilimtumia msg whatsp saa mbili hakujibu mpaka leo na alikuwa online mpaka saa tano usiku sasa najiuliza huwa anachati na nani
Sasa nataka nimfanyie uspy wa kutisha ili nijue na mimi nianze kuchepuka au la na kuna mfanyakazi mwenzie huwa naona wanawasiliana sana kwa simu nikikagua cm yake na yeye huwa anamponda sana huyo jamaa mpaka nashindwa elewa sasa nikigundua mchezo nitachet mpaka atashangaaa