Nimeshangaa hii Mahari, sikuitegemea

Nimeshangaa hii Mahari, sikuitegemea

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,743
Leo nlimtuma mshenga na ancle wangu kuchukua majibu ya posa na thamani ya Mahali cha ajabu wamepewa karatasi yenye mchanganuo wa vitu na thamani yake jumla wamepata laki 658000 hata siamini hapo hapo wakatoa laki 2 nadaiwa laki 458000 (walienda na millioni 1 ila waliona ni dharau kulipa yote)
 
Mara ya mwisho mahali kupolewa kwetu ilikuwa 5.8M sijui kwasasa itakuwaje ,nawaza tu.
 
Back
Top Bottom