Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,598
Hamjambo wapendwa!
Ni kweli kabisa kwamba wanandoa huoana wakiwa na baadhi ya udhaifu ambao hutakiwa kubebeana ili waendelee kuishi katika furaha hata wazeeke wakiwa pamoja. Lakini wakati huo huo biblia inasema ''ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI'', je msemo huu una maana gani? Je mwanamke ana akili sana hata imbidi mme wake awe makini sana na yeye au la una maana nyingine.
KARIBUNI KWA MICHANGO YENU ENYI WABARIKIWA.