Habari wanaJamiiForums,
Natumai Jumapili yenu iko vyema.
Hebu wanaume tuulizane kwa maisha tunayoishi na hawa wanawake hawa wa kisasa sasa hivi bila mfumo dume mambo yangeenda kweli?
Hichi kitu nimekiona kama kwenye harusi mbili, bibi harusi anatembelea magoti kupeleka keki kwa wakwe na kwa wazazi wake unajidhalilisha, kama una ndugu au rafiki aliye karibu kufunga ndoa...
Wanasaikolojia wengi na washauri wa ndoa watakubaliana na mimi kwamba sex ni jambo muhimu sana katika mahusinao,ukweli ni kwamba sex ni lile jambo ambalo unafanya na mpenzi wako tu na siyo mtu...
Langu mimi ni hili,
Wadada please & please! Mkipendwa mpendeke. Money is not love, thamini uwepo wa mwenzako.
Yaani hadi stress nani utamuoa. Every girl is putting money first, very...
Habarini,hiki kitu kimenishangaza sana nikaona nikilete hapa jukwaani..hivi inawezekana kwa mwanaume kuishi na mwanamke usiempenda kama wanandoa au mwanamke kuishi na mwanaume usiempenda kama...
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa...
Habarini. Nina swali kwa wanaume.
Huwa kuna kitu mnakuwa mmekisahau kwa ma ex zenu? Kwa mfano mimi kila ex wangu lazima arudi, oohh nimekumic wakati kipindi tuko kwenye mahusiano most of them...
Habarini wanajamvi!
Katika harakati za hapa na pale nilikwaruzana na mpenzi wangu, ofcourse nilimpenda nae alinikubali japo sikumwamini sana na ishu ya kuzinguana ni kwasababu alimtukana mtu...
Maisha haya bhana acha tu, kila mtu anatembea akiwa na yake kifuani,kichwani na moyoni! Hasa kwenye swala la kuoa/kuolewa.
Unampenda John ila utaolewa na Juma, kwa sababu Juma ana maisha mazuri...
Nimekuwa nikipata sana wake za watu katika mahusiano kuliko wasichana ambao hawajaolewa.
Hii hali imeanza kuniogopesha sana.mara kwa mara hata tukutane na mdada iwe popote pale na nikimtongoza...
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima na uthubutu wako.
2. Mwanamke anaemuheshimu mumewe ni mwanamke bora ambae...
Neno langu la leo
Dunia inabadilika na maisha yanabadilika zile zama za mwanamke kunyoosha miguu unasubiri kuletewa kila kitu zilishapita, mwanamke mjanja sasa hivi ni kutafuta chake kwa nguvu...
Hivi jamani huyu baba mkwe mtarajiwa unampelekea Mahari anakataa anasema binti yake hauzwi, wewe andaa harusi tu.
Huyu Mchagga ananitakia mema Mimi na binti take kweli?
Hivi kwanini ukatae...
Iwapo una mme mmeishi wote kwa Muda flani, kutokana na mme kupoteza uwezo wa kukuhudumia unaamua kuachana nae, anakubembeleza mwendelee, unakubali, hata hivyo huduma inaendelea kuwa ya kusuasua...
Habari wana Jamvi,
Mimi nina tatizo na sijui hata nielezaje lakini for the past few days mambo yamekuwa magumu sana,Nimekuwa nikiandamwa na hisia za KIFO kama vile muda wowote naenda kufa. yaani...
Wanajamvi habari zenu!
Natumaini hamjambo naombeni kuchangia mawazo yangu na nyie.
"Hakuna haja ya kuhangaika kuanzisha uhusiano na mtu ambaye unajiaminisha kuwa unampenda lakini ukiangalia kwa...
habari ya ninyi wana JF
napenda tujadili kiasi gani mahusiano yanaathiriwa na tofauti ya dini au kabila au vyote kwa pamoja...
Nimeamua kutupia huu uzi kwa sababu huwa nackia sana kuhusu hii...
Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.
Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa...