Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,223
- 144,184
Location: Mbezi Beach Kwa Zena. Barabara ya Mwai Kibaki.
Afnan Building Materials [Kwa Mpemba].
Katika kuendeleza mila, desturi, na utamaduni wa kizuri kula na nduguyo, bila inda wala unyambi, na kwa roho safi na si ya kutu, dakika takriban hedashara zilizopita nimefika hapa kwa Mpemba tayari kumkabidhi Komredi mwenzangu Asprin kwa Malkia Wa Nyuki.
Sasa Komredi fanya mpango ufike hapa fasta. Sisi tupo hapa tunakusubiri huku tukila mishkaki ya firigisi tukishushia na juisi ya miwa.
Malkia kaja na rafiki yake Yasinta. Wamependeza kweli kweli.