Ni sahihi mchumba wako kutokwambia adui yako

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
943
1,115
Nawasalimu kwa jina la bwana wetu aliembinguni!

Nina mchumba wangu ambae kwa sababu zisizozuilika tunaishi apart so tunaonana kwa mwaka mara mbili yani wakati wa rikizo

tatizo ni huyu mchumba wangu anasema amepigiwa simu na mmoja wa marafiki zangu wa karibu sana na kumwambia umbea kuwa huku niliko nimeoa ili hali si kweli na anamwambia ikiwezekana atafute mchumba mwingine aolewe kuwa mimi namptozea muda. nikimbana aseme ni nani huyo rafiki yangu mnafiki hataki kabisa kusema. Tena ananuna na tunakuwa kama maadui.

Jamani hiki kitu ni sahii kunifcha mtu ambae si mwema kwangu??
 
Jitahidini muoane hii inatokana na kuwa na uhusiano wa mbali. Kumbuka sio rahisi mchumba wako kukupa her source of information hiyo ni ngumu. Mkioana fanyeni juu chini mkae sehemu moja aidha yeye ahame kuja ulipo au wewe umfuate. Hapo mtamaliza vineno vya wambeya na wafitini.
 
kama anakuheshimu atakwambia.. ila anaweza akawa anaogopa coz utamface huyo mtu na ukishamface yeye ataonekana mbaya.
 
ila mwambie hawezi kuonekana mbaya zaidi ya huyo anaesambaza maneno ya uongo.
 
Huyo alikua anakupima tu atakua amehis una mpenzi mwingine ndo mana kakutega hakuna cha mtu kumwambia hiyo kiki tu
 
umejuaje? au ndo wewe unaeniharibia kwa mchumba wangu?? nikikufaham nasambaratisha hilo bichwa lako
Dalili kubwa ya kuwa kaliwa ni kukosa kujiamini na kushindwa kukutajia jina,wanawake hawana kifua hicho babu,hapo anakutafutia mahali aku-overtake aende kwa mshkaji wako,mkito ameuelewa
 
Inamana ww umeshindwa cha kufanya au huna maamuzi yoyote juu ya hilo?

Utaitweje kuchwa cha familia kama dogo kama hili linakushinda?
Watakunyooshea mpaka akili ikukae sawa
 
Mbane akwambie marafiki wanafki wapo
Huyo rafki yako anamtaka huyo mkeo...

Chakufanya mbane akwambie ni nani anayepekeka hayo maneno ..

Ww na yeye ni kitu kimoja iweje leo angie mtu mwingne na mijimaneno halafu na yeye amfiche?
 
Yaani una mchumba halafu kwa mwaka mnaonana mara mbili tu halafu unataka kusema huko uliko hugongi?
 
Hiyo ni drama tu. Kubwa anachohitaji ni wewe kumweka ndani mapema. Hana alichoambiwa, vinginevyo angefunguka tu coz hawanaga uwezo wa kutunza siri kiasi hicho..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom