Embu tusaidiane nimekwama

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,795
6,769
Tangu mara ya mwisho nitoe thread hapa MMU kama miezi kumi na moja.. siikumbuki vizuri lakin nadhani ilikua ni mimi muoga wa kutongoza wanawake. Nashukuru mlinishauri nini cha kufanya na baada ya hapo nikaanza kazi.

nilibahatika kupata msichana mmoja kwa kweli nilimpenda kwa kila hali na nilimjali kwa hali na mali. Nilijitolea sana kwa kuwa alikua mpenzi wangu wa kwanza nilimpenda sana. Na yeye sikujua kumbe nilikua nazugwa tuu mimi nahudumia sana nampa hela anazotaka lakini hata siku moja sikuwahi kumuomba gemu. Nilienda naye kwa kipindi cha miezi sita ndipo hapo kashikashi zilipoanza. Siku moja wakati naona mizinga inazidi sana ikabidi na mimi nimbanie no money maana ilikua imezidi. Kuna siku nilimuonaga anakuja karibia sehemu alipokua anakaa kumbe alikua anakuja kwa mshikaji wangu mmoja na alipokua anatoka ananimind kwa nini nilikuja kwako lakini hukunikaribisha mimi nikawa simuelewi kwa sababu kama anakuja ninapokaa lazima anitaharifu. Sasa tuligombana siku moja na mimi nikaamua kama ndo ivyo bora tupotezeane tu na mimi nikafuta namba yake. Wiki kama mbili akaja nitafuta kwa sms nilipoona namba geni kwa kua nilikua kwa mshikaji wangu [yule jamaa aliyekua anatembea na tunda langu] ilibidi nimuombe simu yake ili niandike namba ya sms kisha nibonyeze *150*00# kisha niiangalie M-pesa. Wakati naiandika ile namba likatokea jina la yule demu wangu ikanista kidogo ikabidi nizuge kwa jamaa kwamba nimepata demu huyu anaitwa ZZZZ. Jamaa akaniambia pale ashakula sana mpaka kachoka anataka apige chini tuu maana kamganda sana. Asikuambie mtu mapenzi yanauma jamani. siku hiyo sikulala kabisa hewa ilishindikana kupita kooni sikula siku iliyofuata..... niachie hapo. Kifupi ilibidi nipige chini tu

sasa nikamtongoza mwanam,ke mwingine ila yeye akanichomolea but akaniwekea condition niwe kama kaka na dada nimeenda hivyo lakini sasa naona hapana huko hatufiki siwezi kusindikiza siku tuu ziende na kibaya zaidi anataka niwe namtxt mara kwa mara nisipofabnya hivy inakua shida anamind kwa nini nipo kimya. sasa najiuliza hivi hawa wanawake mbona siwaelewagi wanantaka nini na jinsi gani naweza kuishi nao pasipo kuumia moyo?
 
Ila una roho ya kijasir miez sita yote hyo unatoa matumz tu bila kuomba mchezo aisee unayaweza
 
wewe inaonesha una mtambo wa kutengeneza fedha haramu unahonga halafu utafuni miezi 6.are yuou seriouss?
 
apana mamaaaa,,,,,,basi mwache aendelee kukutumi,jua kua kumpa uroda mme wa mtu ni kumfaidisha yye kwa asilimia kubwa


Wewe kweli hamnazo kwani uroda anapata mwenyewe?? Kidondani patamu na nzi ndio nishapafia ndugu yangu....habari uipate utamu wake ndio unanituliza, na kwa aksh anazonitia habadani simuachi!!
 
Haina haja ya kupoteza muda sehemu isiyo na mafanikio kwako. Mpotezee tu.
 
Back
Top Bottom