Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha muumiza kihisia hapo...
Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.
Wanawake walioolewa wanajiamini sana ukilinganisha na wasioolewa. Nadhani wengi mtapingana na hili ila hapa siongelei kujichetua...
Mama mmoja ambaye ni mke wa mtu, amenifuata hapa napofanyia shughuli zangu ameniambia yafuatayo. Anasema usiku wa kuamkia leo ameota ndoto, ameniota mimi nikiwa nimejifunga taulo halafu nikaingia...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka jana ila mwaka umeshaisha sina kazi yoyote ninayojishugulisha nayo nimeshajaribu sehemu mbalimbali bila mafanikio.
Sasa tatizo langu...
Watu wanaoana kwa sababu nyingi mojawapo kubwa ni kuwa na familia,sasa hawa binadamu wanafunga ndoa zao ni kwa sababu ngono tu au kuna sababu nyingine za msingi,lakini pia wanawake wanaofanyiwa...
Habari ndugu,
Hivi mtu uliekuwa unampenda akakuacha tena kwa dharau alionesha vitendo ukawa hujaelewa akakwambia kwa mdomo kabisa tuachane naona hunifai madhaifu yako siyawezi.
Si ajabu hata...
Wapendwa hii ni kawaida kwa mwanamke kutopenda kuongelea chochote kuhusu kitu chochote au kutamka chochote juu ya mambo ya mapenzi,msaada kwa wazee wa psychology.
Habari zenu wapendwa,
Kuna kisa kilimtokea jirani yangu nikaona si vyema kukaanacho kimya, nikaona ni vyema niwashirikishe nanyi wenzangu ili mpate kujifunza pia kuchukua tahadhari kuna jirani...
Habarini wakuu..?
Watu hutoka stage moja kwenda nyengine,natumai kila mzazi anapendelea kuona mtoto wake akitoka stage moja kwenda nyengine, hali hii humuimarisha mtoto kiakili.
Siku hizi...
Wanasema utamu wa ngoma ingia uicheze, kiukweli hawakukosea katika kipindi cha uchumba hawa dada zetu huficha sana tabia zao hata kama alikua malaya ataacha ata kama alikua mtoa tigo ataacha yaani...
Je penzi la kweli lipo ?
Hilo ndilo swali linaloulizwa sana katika mitandao nchini China.
Hii ni baada ya raia mmoja kutoka Uholanzi kusafiri maelfu ya kilomita ili kukutana na mpenziwe raia wa...
Habar za jioni wapendwa wana jf siku moja katika pita pita zangu za biashara zangu huko duniani nikiwa na rafiki yangu mmoja tuliingia sehem moja dukani kuna aina nyingi sana ya midol ya kike na...
Mamboz....nina demu angu ambaye tumekutana chuo na tumependana sana almost kila siku tunalala wote magetoni ila jana kanidanganya anaeenda kwenye party usiku,but before hajaondoka nikafanikiwa...
Mimi ni mgeni humu ila mimeona tu kuanza kwa hii kitu kwa sababu kuna familia ya rafiki yangu wana mgogoro toka mkewe ende kusoma huko Austria. Jamaa ana wivu balaa mpaka anaweza tu kuimagine...
Ndoa nyingi leo zinapitia katika mahangaiko na changamoto nyingi na kuishia kuvumiliana kwasababu tu ya kile kiapo walichokiapa Kanisani japo ni wachache mno wanaokumbuka lile neno "tutakuwa...
Introverts (or those of us with introverted tendencies) tend to recharge by spending time alone. They lose energy from being around people for long periods of time, particularly large crowds...
1. Kaa mbali na ngono nje ya ndoa, magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya ngono yanazidi kuongezeka, unavyokuwa na wake/waume wengi chance ya kuambukizwa ni kubwa
2. Pima na mke wako magonjwa yote...
Nimejitahidi kuchunguza kuanzia sehemu ninapoishi mpaka kazini kiukweli vijana wenzangu wengi walio na mpenzi au mke zaidi ya mmoja ukijaribu kupiga nao stori mbili tatu lazima kisa cha kutendwa...