Mke wangu hapendi kabisa stories za mapenzi

Mke wangu hapendi kabisa stories za mapenzi

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
724
Reaction score
1,526
Wapendwa hii ni kawaida kwa mwanamke kutopenda kuongelea chochote kuhusu kitu chochote au kutamka chochote juu ya mambo ya mapenzi,msaada kwa wazee wa psychology.
 
mkuu mpigie za sungura na fisi labda anapenda chei chei shangazi
 
Muhimu vitendo, story hata kwenye vitabu zipo
 
sasa wewe unampgisha ctory za mapenZi wakati humpelek shopping??????????
 
Anakudanganya wewe lakini akiwa nje usiseme

swissme
 
Uwe uwe unampigia story za Bruce Lee atapenda.
 
1.Tatizo ujajua nyege za mke wako zipo sehem ipi katika mwili wake.
2.Endapo ukufanikiwa kuipata ndipo story za mapenzi uzilete kwake.
NB.siyo kila mwanamke unao waona wanasismka ndani ya miili yao kwa story za mapenzi never.
 
Mkuu vip lakin mkeo anaprovide haki ya ndoa? As yusual?

Kama unapata hilo hamna haja ya stori stori we fanya zako praktiko tuu
 
mpe story za Resident Evil created from GameVideo games and Fear the walking dead....atapenda mbayaaa yani...
 
Back
Top Bottom