karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 423
Habar za jioni wapendwa wana jf siku moja katika pita pita zangu za biashara zangu huko duniani nikiwa na rafiki yangu mmoja tuliingia sehem moja dukani kuna aina nyingi sana ya midol ya kike na kiume ikiwa pamoja na jinsia zake ukutani mwa lile duka kulikua na maumbile ya kiume ya kila aina pamoja na ya kike ukweli nilishangaa sana kwa sababu ndio mara yangu ya kwanza ghafla katika kushangaa wakaingia kina mama wawili wa kinaigeria washiba sawa sawa na kupanda hewani mno walifika na kuulizia moja ya uume uloshiba sana na mrefu nikamwambia jamaa yangu kaka tutoke humu tunaweza kukutana na mtu anatujua akafikir tunanunua sasa baada yakutoka hapo ikawa story njia nzima na jamaa yangu akaniuliza swali mpaka leo sina jibu akauliza hivi ukimkuta mkeo analo hilo li uume la bandia halafu mbaya zaid linakua kubwa kuliko utafanyaje kama ww