Sina kazi, mpenzi wala marafiki, napata mawazo ya kujiua

jelly bean

Member
Aug 14, 2014
11
15
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka jana ila mwaka umeshaisha sina kazi yoyote ninayojishugulisha nayo nimeshajaribu sehemu mbalimbali bila mafanikio.

Sasa tatizo langu ni kwamba mawazo ya kucomit suicide yananijia sana coz if feel like am not strong enough kuishi i feel like am not strong enough to compete yani kiufupi nimekata tamaa sina kazi, sina mpenzi, sina mrafiki.

Mimi sio muumini sana wa dini so i think nikijiua maybe i will born somewhere else were nitaaford kuishi kuliko saivi, nimepost huku nadhani nitapata wadau wengi zaidi wakunishauri.
 
Pole sana kiongozi jitahidi kujipa moyo. Anyways ulivoandika ulikua ubakimbizwa
 
Unajiua kwa sababu huna kazi? Kwani huli? Hulali? Huogi? Mshukuru Mungu hata kwa pumzi hiyo watu wanaitafuta, wewe huitaki!!!! Mara nyingi mtu mwenye imani yake akipata majaribu hukimbilia kusali na kuomba msaada wa Mungu, hata wewe hujachelewa waweza kuanza sasa kumtegemea Mungu wala usijikatishe tamaa na faraja ya kweli inatoka kwake pekee. Pole sana
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka jana ila mwaka umeshaisha sina kazi yoyote ninayojishugulisha nayo nimeshajaribu sehemu mbalimbali bila mafanikio sasa tatizo langu ni kwamba mawazo ya kucomit suicide yananijia sana coz if feel like am not strong enough kuishi i feel like am not strong enough to compete yani kiufupi nimekata tamaa sina kazi sina mpenzi sina mrafiki mimi sio muumini sana wa dini so i think nkijiua maybe i will born somewhere else were nitaaford kuishi kuliko saiv nimeipost huku sidhani kama ni jukwaa sahihi ila nadhani nitapata wadau wengi zaidi wakunishauri kuliko majukwaa mengine

Uko wapi?.
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka jana ila mwaka umeshaisha sina kazi yoyote ninayojishugulisha nayo nimeshajaribu sehemu mbalimbali bila mafanikio sasa tatizo langu ni kwamba mawazo ya kucomit suicide yananijia sana coz if feel like am not strong enough kuishi i feel like am not strong enough to compete yani kiufupi nimekata tamaa sina kazi sina mpenzi sina mrafiki mimi sio muumini sana wa dini so i think nkijiua maybe i will born somewhere else were nitaaford kuishi kuliko saiv nimeipost huku sidhani kama ni jukwaa sahihi ila nadhani nitapata wadau wengi zaidi wakunishauri kuliko majukwaa mengine
Huo ni ugonjwa wa akili,nenda kamuone daktari wa mambo ya akili,atakuanzishia dawa na utarudi hali yako ya kawaid,vipofu,viziwi,vilema,wehu,wagonjwa mahututi mahospitalini na majumbani wote wanamshukuru Mungu aliewaumba na wanapenda kuwa hi,iweje wewe kijana uliomaliza chuo leo ukate tamaa,zinduka kijana,bado una matarajio.
 
At that young age you want to kill yourself for whose benefit? Try to be close to your friends, don't admire things you can't aford, engage in religion and try to seek any job that'll make you busy. Don't ever do it amigo?
 
Formulae ya kufurahia maisha ni kuhesabu baraka zako. Majuzi hapa niliingia ofisi ya serikali, kwa mlinzi alinitangulia kijana Kama wa miaka 25 hivi asiejua kuandika. Akamuomba mlinzi amuandikie. Nilihuzunika haswa.

Una afya njema, umesoma. Walau Una pa kuanzia. Kukosa ajira ni jambo la kawaida tu, kuna mkuu wa wilaya Jana kawa jobless sembuse wewe? Muambie ibilisi asikuzoee, anataka ujiue kwa sababu anajua Una baraka zako zinakusubiria.
 
Umefikia hali hiyo ila una simu yenye internet na vocha ya kuingia JF?

Toka nje nenda kapige kazi, unakaa ndani unajifungia siku nzima unategemea uchomoke? Tatizo vijana wengi siku hizi usharobaro mwingi, kazi mnachagua sana, au mnakaa mnasubiri waje wakuajiri umekaa nyumbani.

Unajua si lazima ufanye kazi kutokana na degree uliyonayo, badala ya vocha weka pesa, ikiwezekana uza na hiyo simu uanze biashara kuanzia chini. Kama unakuja na gia za kujiua ukitegemea tukuchukulie poa, tafuta gia nyingine, gia ya huruma hua haifanyi kazi.
 
shirikisha ndugu zako na anza kusali muombe Mungu shiriki ibada, bila kusali bila kuwa na Mungu utapataje mafanikio! ina maana imani yako ni ndogo kiasi kwamba huamini kama Mungu yupo
 
Usikate tamaa kipumbavu kiasi hicho...you are more strong than you can think...Miaka 22 halafu umekaa mwaka mmoja tu baada yakumaliza chuo??? Wacha utani wewe dogo, watu wana miaka 5na bado wanafight na maisha??
Kwanza ni kosa sana hadi sasa huna rafiki, sio muumini wa dini yeyote.. Please jitahidi kujichanganya na watu wenye positive ideas..Mwombe Mungu atakupa nguvu zaid.
 
Back
Top Bottom