Huenda wewe ni mojawapo ya wanaume walio WAOGA WA KUKATALIWA, kwahiyo unajihisia mwenyewe kuwa anakupenda, inawezekana kweli anakupenda kama rafiki tu lakini kakwambia ana mtu tena hadi kwao kajitambulisha, unataka nini zaidi brother kama sio kudang'anywa na kuumizwa? Kwa uzoefu na maisha ya chuoni ni kuwa hatakama akikukubalia ila utaumia ZAIDI atakapomaliza chuo na kukwambia amerudi kwa mtu wake wa zamani. KUBALI KUKATALIWA SONGA MBELE.