Wanawake walioolewa huwa wanajiamini nini hasa?

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
785
Reaction score
1,368
Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.
Wanawake walioolewa wanajiamini sana ukilinganisha na wasioolewa. Nadhani wengi mtapingana na hili ila hapa siongelei kujichetua, bali naongelea ile confidence inayotokea ndani.

Ukiwakuta mahala wanakuwa very free, hawaogopi kufanya vitu. Hata wakiongea na mtu au kujielezea hawana kupepesa macho wala kutazama chini kwa uoga au aibu. Wako huru kuliko.

Ukienda harusini au kwenye sherehe yoyote angalia wadada/wamama walioolewa. Wanacheza kwa uhuru, wakiitwa mbele ya kadamnasi kujieleza wako vizuri na hufanya hivyo kiufasaha. Wasioolewa mara nyingi huwa wakijishtukia sana, sijui kwanini.

Maswali ninayojiuliza ni:
1. Wanakuwa huru kwakuwa wameolewa hivyo wanaamini wamepanda thamani kwenye jamii na wako kundi lenye "heshima"?
2. Wanakuwa huru kwakuwa hawana cha kuonea aibu tena kutokana na kuweza kuishi pika pakua na mwanaume na kushare kila kitu au kuoneshana kila kitu?

Nawasilisha.
 
NAJARIBU KUTAFUTA HUO UHUSIANO WA KUOLEWA NA KUTOKUWA NA AIBU...Well, I will be back.
 
Bado sijafanya uho utafiti mdogo..ngoja nianze.ntaleta mrejesho.
 
Ukweli ni kwamba mwanaume aliyeoa au mwanamke aliyeolewa anakuwa na Mawazo mapana vilevile anakuwa anajiamin kwakuwa amepitia changamoto nyingi za maisha hasa ya kiutu uzima..
 
Ambaye hajaolewa kazima ajishtukie kwasababu bado anatafuta au anae ila anabembeleza kuolewa. Mpenzi wake asimuone kicheche akampiga chini.
Alieolewa hana cha kupoteza. Tayari ameshafikia ndoto alokuwa anaitaka. Haogopi kitu, habembelezi ndoa tena.
Pia, kuna umri ukifika lazima unakuwa uwe na furaha au ujisikie free tu hata kama huna sababu za msingi.
 
Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.
Wanawake walioolewa wanajiamini sana ukilinganisha na wasioolewa. Nadhani wengi mtapingana na hili ila hapa siongelei kujichetua, bali naongelea ile confidence inayotokea ndani.

Ukiwakuta mahala wanakuwa very free, hawaogopi kufanya vitu. Hata wakiongea na mtu au kujielezea hawana kupepesa macho wala kutazama chini kwa uoga au aibu. Wako huru kuliko.

Ukienda harusini au kwenye sherehe yoyote angalia wadada/wamama walioolewa. Wanacheza kwa uhuru, wakiitwa mbele ya kadamnasi kujieleza wako vizuri na hufanya hivyo kiufasaha. Wasioolewa mara nyingi huwa wakijishtukia sana, sijui kwanini.

Maswali ninayojiuliza ni:
1. Wanakuwa huru kwakuwa wameolewa hivyo wanaamini wamepanda thamani kwenye jamii na wako kundi lenye "heshima"?
2. Wanakuwa huru kwakuwa hawana cha kuonea aibu tena kutokana na kuweza kuishi pika pakua na mwanaume na kushare kila kitu au kuoneshana kila kitu?

Nawasilisha.
Kwa nini na wewe usiolewe bhana ili ujue inakuwaje?
 
ukishaanza anza kuzeeka unajiona bibi wengine wajukuu kwa hiyo unakua bibi v wajukuu
 
Wewe ambaye hujaolewa kazima ujishtukie kwasababu bado unatafuta au unae ila unabembeleza kuolewa. Mpenzi wako asikuone kicheche akakupiga chini.
Alieolewa hana cha kupoteza. Tayari ameshafikia ndoto alokuwa anaitaka. Haogopi kitu, habembelezi ndoa tena.
Pia, kuna umri ukifika lazima unakuwa uwe na furaha au ujisikie free tu hata kama huna sababu za msingi.
Whats up with personally attacking me?....Una uhakika sijaolewa?
 
Lazima niwe na confidence kwa sabab kuolew kunaongeza heshima flani ivi, experience ya maisha kupanda na kushuka nako kunasababisha nijiamin

nikiamin kwamba kutokana na changamoto nilizokwisha pitia so far..sina hofu hakuna cha kunishinda
 
Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.
Wanawake walioolewa wanajiamini sana ukilinganisha na wasioolewa. Nadhani wengi mtapingana na hili ila hapa siongelei kujichetua, bali naongelea ile confidence inayotokea ndani.

Ukiwakuta mahala wanakuwa very free, hawaogopi kufanya vitu. Hata wakiongea na mtu au kujielezea hawana kupepesa macho wala kutazama chini kwa uoga au aibu. Wako huru kuliko.

Ukienda harusini au kwenye sherehe yoyote angalia wadada/wamama walioolewa. Wanacheza kwa uhuru, wakiitwa mbele ya kadamnasi kujieleza wako vizuri na hufanya hivyo kiufasaha. Wasioolewa mara nyingi huwa wakijishtukia sana, sijui kwanini.

Maswali ninayojiuliza ni:
1. Wanakuwa huru kwakuwa wameolewa hivyo wanaamini wamepanda thamani kwenye jamii na wako kundi lenye "heshima"?
2. Wanakuwa huru kwakuwa hawana cha kuonea aibu tena kutokana na kuweza kuishi pika pakua na mwanaume na kushare kila kitu au kuoneshana kila kitu?

Nawasilisha.

UNGEWEKA PICHA KWA UFAFANUZI WA KINA
MKUU.
 
Back
Top Bottom