Mimi ni mgeni humu ila mimeona tu kuanza kwa hii kitu kwa sababu kuna familia ya rafiki yangu wana mgogoro toka mkewe ende kusoma huko Austria. Jamaa ana wivu balaa mpaka anaweza tu kuimagine mkewe analiwa na kuanza kutoka jasho, anatetemeka na kung'ata meno yani ni kama anamuona wife anavyoshughulikiwa wakati hata sio kweli. Mara amwambie weka skype, mara weka viber nikuone kama kweli uko darasana.
Jamaa mpk amekonda aisee huwezi amini kabisa kuwa WIVU ndio unamsumbua. Hivi wanaume inakuaje mtu anawivu kiasi hicho? Mke mwenyewe kaolewa tayari 'WAZEE WA MIKASI' walishazindua, hivi kwa nini uwe na wivu kiasi hata cha kuua mtu?
Kwani ikiliwa inaisha? au inaweka kovu? Wivu wa nini wakati wewe ndio unamiliki mzigo? Niwashauri tu wale wanaume mnao ona wivu sana kama wife analiwa na mtu mwingine jaribu kuwa na subira, wivu wako usiwe kama wa huyu jamaa khaaaa!!
We mwanamke huko Austria tafadhali mmeo anakonda kwa ajili yako, ptuuuu!!