Nimechoka na maisha ila tumaini lipo

Nimechoka na maisha ila tumaini lipo

kiruuuu na wewe unakulaga mulo mmoja hujapata tuuu unayemtafuta akupe shamba la madinkodinko na sio kulia lia kama komba
 
Mlo mmoja mbona mukide tu, unaula katikati ya usiku na usiku wa manane afu unalala fasta...
Mchana stori nyingi na maji ya bomba.
 
kwa wale tunaoishi kwa mlo mmoja kwa siku
ni bora ule mchana au usiku? maana dah inabidi kuchezesha karata vizuri maisha yamebana sana.
ila ipo siku tu tutatoka
Badilisha hiyo username ndio inayokutesa
 
kwanini uhangaike hivyo kutaka kujua ni muda gani ule huo mlo mmoja ilihali kidume nipo..ebu fanya kuni PM uone neema ya msosi itakavyo kumiminikia.
 
Back
Top Bottom