Katika mapenzi, usithubutu kupekua historia/experience ya mwenzi wako

Katika mapenzi, usithubutu kupekua historia/experience ya mwenzi wako

Beauty Eva

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
131
Reaction score
374
Upo mapenzini na labda umemkuta mwenzi wako tayari akiwa mkubwa "si bikra". Katika hali hii usipende kupekua maisha ya kimapenzi aliyokuwa nayo awali. Anza pale mlipokutana ninyi.

Kupekua pekua hakufai, maana unaweza kupewa ukweli ambao utakuumiza maisha yako yote. Mfano, wewe mwanaume unamuuliza mpenzi wako (awe ni mke au mchepuko) swali hili:-

Je, mimi na X wako tuna tofauti gani kitandani? Baada ya swali hili, assume huyo mpenzi wako akawa ni mkweli hasa na kwake suala la diplomasia ya mapenzi halipo. Kutokana na swali hilo, akakujibu: tofauti kubwa kati yako na X ni kuwa, X wangu alikuwa na pumzi kubwa kitandani kuliko wewe.

Niambie jeraha hilo, utalitibu kwa dawa gani?
 
wanaume wanapenda sana kudanganywa yaani
mtu anakuuliza ushawai kusex mara ngapi? oooh mara ya mwisho lini hata kama nimesex jana yake nitasema kweli ?nasema tu miaka kumi iliyopita tena nilibakwa
oooh x mpenzi wako na mimi nani handsome jamani ukiambiwa ukweli wewe mbaya mwenzako alikuwa mzuri utachukia kweli
tuachane na ya zamani jamani yaacheni yabaki history wengine hatujui kusema uongo utaanmbiwa ukweli uone watu wabaya bure
 
Wafukunyuku waumizwe tu kwa kuwa hamna namna nyingine.
 
Nimekumuka yule jamaa kapata jiko kumbe rinda za juma zishaachia zote duh tuna kazi kwa kweli huku kupenda penda huku utaokota apple kwa nje ndani kumbe ndulele
 
Bila kujua historia ya mwenzi wako ni kuidanganya nafsi.
Ina faida gani kutokujua historia ya mpenzi wako, let's say; umedumu nae miaka X halafu anakuletea watoto wake aliowapata kabla yako! Huoni gharama ya kujidanganya ni mbaya zaidi?
Kufanya maamuzi huku ukiujua ukweli ni bora zaidi.
 
swali la mara ya mwisho kunjunjwa iikuwa lini huwa naona wamejianda kisaikolojia kudanganywa.. sababu mara nyingi jibu ni la kudanganywa

Mara ya mwisho wewe lini? Sema ukweli nikupe hela,sikudanganyi nakupa hela we sema ukweli tu
 
ha ha ha ha mi ukianza kutafuta past yangu nakujibu ila sitataka maswali ya ziada baada ya hapo.....
 
Kuna siri zingine hata kama huzitafuti zitakuja gundulika tu tena siku mko kwenye honeymoon...Mkifungua zawadi ghafla unakutana na zawadi mithili ya Card ya congratulation..ukifungua ndani unakuta ni picha za mwenzi wako akiwa katikati ya mahaba niue na style zile ambazo kamwe uliapa huwezi mfanyia kwa jinsi unavyompenda.....Kikubwa ni kuhakikisha unakuwa na historia safi in a way hata kama ikijulikana isilete ukakasi saaaaaana...
 
Kazi kweli mana unakuta maswali mengine hayana hata maana eti ooh xboy wako alikua anakupa kama navokupa mimi ukimwambia ukweli anachukia ndo mana huwa nikiwa kwa new relation ntakufariji tu your the best i ever had ili usijisikie vibaya.
 
Upo mapenzini na labda umemkuta mwenzi wako tayari akiwa mkubwa "si bikra". Katika hali hii usipende kupekua maisha ya kimapenzi aliyokuwa nayo awali. Anza pale mlipokutana ninyi.

Kupekua pekua hakufai, maana unaweza kupewa ukweli ambao utakuumiza maisha yako yote. Mfano, wewe mwanaume unamuuliza mpenzi wako (awe ni mke au mchepuko) swali hili:-

Je, mimi na X wako tuna tofauti gani kitandani? Baada ya swali hili, assume huyo mpenzi wako akawa ni mkweli hasa na kwake suala la diplomasia ya mapenzi halipo. Kutokana na swali hilo, akakujibu: tofauti kubwa kati yako na X ni kuwa, X wangu alikuwa na pumzi kubwa kitandani kuliko wewe.

Niambie jeraha hilo, utalitibu kwa dawa gani?
Umekuja pale ninaposema mimi kila siku ili mapenzi yawepo uongo lazima utawale kwa asilimia 99,na ninaungana na wewe kwa kusema kuwa ukisema ukweli kwenye mapenzi tayari unakuwa umetia dosari kubwa ambayo haifutika,sasa kwanini tuambiane ukweli wa mambo yaliyopita kama vifua hatuna!,cha muhimu ni kuchukua mwenzi wako songeni mbele na maisha msigeuke nyuma.
 
Kutaka kuujua ukweli ni sawa na kumenya kitunguu
Tena vile vinavyolimwa maeneo ya nduguti ukikijata kinatoa maji kama maziwa mpaka umalize kumenya machozi yamefika kwenye ugoko
 
Back
Top Bottom