Natoa siri, wanawake chukueni hii..

Natoa siri, wanawake chukueni hii..

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
218
Reaction score
319
Ile dhana ya sisi wanaume kuhitaji kuwa kichwa ni urithi wa kimaumbile toka enzi za mzee ADAM.

Straight on point: Kutokana na utandawazi hili swala la kufikishana kileleni limekuwa mada nyeti kila litokezapo. Imekuwa kila mwanaume sasa anapenda kuonekana ameongoza mechi kwa kuhakikisha timu pinzani nayo inashangilia mchezo yaanai kufikisha kilele.

Ingawa sio wote wanao fanikiwa katika hili na tambueni kuwa jambo la kufikishana kileleni linategemea unakutana na nani na unavutiwa nae vipi plus maumbile na ujuzi wake katika 6by6. Unaweza kuwa unafikisha/shwa na huyu ila kwa yule formula inagoma coz topic ni nyingine. SIRI..

wanaume tunapenda sana kumfikisha mwanamke, ukiona hujafikishwa basi tambua hata huyo mr. nae hajisikii vizuri kushindwa kuwa man of the match.

Najua wengi mnatambua namna ya ku play part yenu katika kuji boost ili ufike peak, kwanza kwa faida na furaha yako na pili kwa kumpa kujiamini huyo jabali wako.

Hakika tambua kuwa hata kama mwanamke sio mrembo ila kama anaonekana kudhihirisha urijali wangu kwa kufika kilele na kuniaminisha kuwa kumbe naweza mechi hata kama ni polygom (dubwasha/shapeless) basi anayo nafasi kubwa katika mechi zijazo kupangwa 1st- 11. Kwa nyongeza ni kwamba wakati unajikunyata na kung'ata chest langu wakati wa kutua mzigo sisi wakina ngosha huwa tunashangilia na pia inatuhamasiha sana na ndo maana wengi huwa tunafika dakika chache baada ya nyie kupz.

Ikibidi tafuta fake orgasm(kilele bandia au kilele hewa) itakuongezea point na pia wakati wa ku fake jiathidi kubadili migono ili jabali ajue kuwa ni wakati muafaka na kiukweli hata kueleza ila moyoni ni bonge la sherehe.

Katika mambo yanayotujia akilini na kufanya tuwawazie nyie ni pamoja na ile taswira ya wakati unajikamua na kuwa kama umepandisha pepo yaani ile hali huwa inadumu akilini mwetu na hatuwezi kusahau, ndomaana unakuta mtu anamfuatilia x wake hata akishaolewa.

Samahani kama hamjapenda siri hii msinitukane nina aleji (allergy) na matusi.
 
Jamani ,honestly siwez kufake orgasm kwa hapo mr ataniwia razi..siku nikifika mwenyewe atafrahi kwa izo shangwe
 
Aisee.......
Umesema upo vere sensitivu eeeh......
 
Cku hizi kila mtu anajiita ngosha sijui kwanini?!au ukiwa ngosha ni unaonekana babkubwa sana au watu wanataka umaarufu kupitia mtu!embu nijuzeni maana zamani ilikuwa hamujiiti ngosha zaid ya fidQ
 
Cku hizi kila mtu anajiita ngosha sijui kwanini?!au ukiwa ngosha ni unaonekana babkubwa sana au watu wanataka umaarufu kupitia mtu!embu nijuzeni maana zamani ilikuwa hamujiiti ngosha zaid ya fidQ
Ngosha ni watu hatari,katili roho mbaya.. Hasa kwenye mechi
 
sita sahau pale nilipo ng'atwA kifuani na kuwejewa alama ya meno japo kwa wakati maumivu nilipata baada ya masaa kupita
 
Tukutane hapo Mromboo...just for nyama ya mbuzi.....pitia Valley please....ni hayo tu..!

Njoo......nipo hapa darajani......halafu nimeanza kulewa ujue.......
 
Back
Top Bottom