Kwanini wanawake ambao hawajaolewa hudharauliwa?

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,269
Reaction score
25,308
Habari,

Nimeona leo tuangalie hili suala la kudharauliwa wanawake wasioolewa kwa kuwa linazidi kushika kasi zaidi.

Mimi ni mwanamke wa mtu ila kuna hii tabia ya watu kuwasema vibaya wanawake wasioolewa. Imekuwa ikiniuma sana, kwakuwa naamini kuwa wao hawakupenda hivyo.

Naomba kufahamu juu ya hawa wanawake ambao hawajabahatika kupata wenza wa maisha kwanini huwa wanadharauliwa sana hasa katika jamii ya watu wanaomzunguka.

Pia nataka kujua kuwa kwa hawa wanawake ambao hawajaolewa wamependa au kuna nini kinasababisha wao wakose waume wa kuwaoa.

Kwa upande wangu naamini kuwa kuolewa ni mipango ya Mungu.

Karibuni kwa michango

Nawasilisha
 
Wanadharauliwaje na wanadharauliwa na nani?
 
Nakumbuka bongo flavour ya kitambo iliyopigwa na NGONI TRIBE, walipiga Wimbo mmoja unaitwa MANUNGA YEMBE"... (wanawake wazuri wazuri wameolewa, yamebaki manunga yembe yanahangaika)... Ulimdharau mwanamke asiyeolewa....
 
Sio wanawake tu hata mwanaume, kama umeoa heshima yako haiko sawa na asieowa,
Mwanamke hata awe mzuri kuzidi nini yenyewe kama hajaolewa bado ataonekana si lolote mbele ya jamii
 
Anaonekana si lolote mbele ya jamii kivipi?

Kwamba yeye si binadamu kamili na asiyestahili kuheshimiwa kama binadamu wengine?

Sijawahi kuona jamii iloyo judgmental kama hii tena kwenye mambo ya hovyo kabisa.

Ubinadamu wa mtu haupungui kisa tu hayuko kwenye ndoa.

Shameful!
 
Habari,

Nimeona leo tuangalie hili suala la kudharauliwa wanawake wasioolewa kwa kuwa linazidi kushika kasi zaidi.

Mimi ni mwanamke wa mtu ila kuna hii tabia ya watu kuwasema vibaya wanawake wasioolewa. Imekuwa ikiniuma sana, kwakuwa naamini kuwa wao hawakupenda hivyo.

Naomba kufahamu juu ya hawa wanawake ambao hawajabahatika kupata wenza wa maisha kwanini huwa wanadharauliwa sana hasa katika jamii ya watu wanaomzunguka.

Pia nataka kujua kuwa kwa hawa wanawake ambao hawajaolewa wamependa au kuna nini kinasababisha wao wakose waume wa kuwaoa.

Kwa upande wangu naamini kuwa kuolewa ni mipango ya Mungu.

Karibuni kwa michango

Nawasilisha

WEKA PICHA KWANZA.
 
Nakumbuka bongo flavour ya kitambo iliyopigwa na NGONI TRIBE, walipiga Wimbo mmoja unaitwa MANUNGA YEMBE"... (wanawake wazuri wazuri wameolewa, yamebaki manunga yembe yanahangaika)... Ulimdharau mwanamke asiyeolewa....
Hahahahaaa we jamaa khaaaaa!
 
Ninachofahamu, mwanamke ambae hajaolewa kila mwanaume atajaribu bahati yake, iwe kazini, majirani unaoishi nao, sehemu ya ibada. Tatizo unaweza kuishia kuwa mama huruma kama siyo mwangalifu.
 
Back
Top Bottom