Masaibu wanayo yapitia wanaume ni magumu....
Kodi nikupe..
nikuvishee...
nikulishe.....
nywele nazoo....
kila mwezi emagency....
nikufate na mguu....we ukija kwangu uje na taxiiii tena mi niilipie...
Nimeolewa nina watoto 2, mume wangu anapenda kuongea maneno ambayo yananiumiza, kama nimeshakuzalisha sikutaki tena natafuta mpenzi mwingine, najuta kuwa na wewe kuna wanawake warembo zaidi yako...
NNaitwa Josephine kusema ukweli mi ni mwanamke wa Kawaida namshukuru mungu ameniumba kwa sifa ambazo kwa mimi naona niko vizuri kiumri nina miaka 19 Niliwahi kuwa nà mpenzi wangu na nilipopata...
Oh Saturday...what a day!
Who:? Ngabu, Tricia, Susan, and Suzanne.
What happened:? My serendipitous encounter in the bathroom hallway with three middle-aged, divorced white women.
When:? August...
Wandugu natumai mko poa,
Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale simu yake itapoita imekuwa kama fomula akinipigia ni mizinga ya hela tu, hana shida kivile anajiweza lakini...
Za leo ndugu,
Kwa uchunguzi wangu nilioufanya asilimia 90% ya wanawake walioko kwenye hamusiano lazima wana dawa au kauchawi kadogo. Matukio mengi ya kufumaniana pochi za wanawake zikifunguliwa...
Mhali gani wapendwa katika JF?
Pamoja na uwepo wa manjonjo mengi katika ulimwengu wa mapenzi, kizazi hiki kisichotabirika kimeanza kugeuza tendo kuwa kama uwanja wa vita badala ya starehe...
Jamani ndoa ni ngumu sana, ndani ya ndoa kuna mitiani mingi, watu wanavumilia mengi ndani ya ndoa.
Tunaoishi nyumba za kupanga tunashuhudia mengi sana. Nyumba niliyopanga ni kubwa, tumepanga...
Jaman shikamoon wakubwa! Habari zenu vijana! Maraharba ninaowazd!!!
Jaman maada yangu nataka kuuliza kuna uwezekano wa mwanamke kubeba mimba akiwa amefanya mapenzi siku ya kwanza baada ya period...
Wapendwa habari ya jumapili
Kama nilivyokuwa nimewadokeza hapo awali nilipendwa na mshikaji wa rafiki angu..tuakawa marafiki ila kutokana na mshikaji kuwa mpenda pombe na mwenye matumizi mabaya...
Hii mada nimeikuta somewhere.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu...
Habari wanajamvi! Natumaini mu salama.
Kama kichwa cha habari kinenavyo. Mimi nimekuwa victim wa uhalisia huu.
Nilikutana kwa Mara ya kwanza na dada huyu mwanzoni mwa mwaka huu. Katika bar moja...
Wakuu,
Kuna Mzee kanipigia simu jana jioni kaniambia niende nyumbani kwake ana mazungumzo nami,
Nikaenda,
Mzee kaniambia yafuatayo,
"Kijana nimepata taarifa kuwa upo katika harakati za Kutafuta...
Ndugu wanajamvi,
Kama mnavyojua ulinzi ni kitu muhimu sana, hata nchi zinakuwa na jeshi ili kuhakikisha adui hapenyezi wa namna yoyote ile. Ulinzi huanzia ngazi ya taifa, kaya hadi mtu binafsi...
1. Mpe pesa hata kama hajakuomba na usimuulize kazitumiaje.
2. Usimuulize ulize maswali ya kijinga jinga, mfano ucmuulize ''uko wapi na nani na mnafanya nini?
3. Tengeneza distance na yeye, yani...
Nawapenda,
Ni kawaida kufanya kautafiti juu ya mwenza unayetaka kuanzisha nae mahusiano. Inapotosha kujiridhisha na kuanza uhusiano ni busara kuacha kuchimba mambo yake ya zamani
Ni...
Usiruhusu mtu yeyote akushushe chini. Achana na watu wanaokuchukulia kirahisi rahisi sababu hawana mchango wowote katika maisha yako. Waache waende wala wasikukoseshe amani ya moyo. Maisha ni...