Dunguboy
Member
- Aug 7, 2016
- 66
- 19
Kwanini napata shida sana kujua hili swala lina niumiza coz kuna wanawake wazuri sana ambao wamekamilikaa sehemu kubwa ila tabia ndo tunashindana atudumu kwasababu ya tabia zao. But kuna mwanamke yani wa kawaida sana hata mimi simkubali lakini yeye ameniganda sana mimi nimemwambia sana simpendi lakini hasikii lakini huku mwenyewe ninaowakubali ndo pasua vichwa that why nimeuliza hivi mwanamke mzuri ni yupi na mwenye sifa zipi. [emoji27] [emoji29]