Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,872
Me ni mtu mstaarabu sana yes I got some weaknesses! Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana msema kweli mpenzi wa Mungu naombeni mnisamehe.Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu kiukweli kivile maana sijajipanga vizuri kimaisha.

Baada ya ile tangazo kweli nilipata watu ila nimeishia tu kugombana nao.Ila na wao wana makosa maana nilisema ninataka mtu mgane ila wao wameachana na wake zao tu mimi sikusema nataka watalaka.kwa iyo mnaonilaumu nimewaumiza mioyo yenu na nyie hamkufata maelezo vilevile.

Pia nilitaka mtu mzima maana vijana sio wakweli ila nine notice miaka 40 kwenda juu kumbe wanakuwa wababa sana loh! Inakuwa shiida jamani me sio mkubwa kiviile nioneeni huruma mwisho naombeni mnisamehe nitarudi tena nikiwa tayari nisameheni sana hata simu nimebadili.

Hata hivo mkumbuke mwisho wa siku anatakiwa mmoja mtu akikuambia hataki we kubali tu.

One love
 
ndio huwa mnapigwa nyie halafu mnasema wanaume makatili
 
Bado mi application yangu hujaijibu unakuja kulialia. Nasubiri jibu pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom