Mnawezaje kudumu na hawa ndugu zetu?

Mnawezaje kudumu na hawa ndugu zetu?

ze big

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
382
Reaction score
351
Habari wana jamvi. Nimekua nikishangaa kila siku katika haya maisha kuanzia nmekua na akili yakuwatamani hawa wanawake. Nina zaidi ya miaka 35 lakini nimebakia kuwa mshangaaji inakuaje wanaume wenzangu mnaweza kudumu na wanawake kwenye mahusiano kwa mda mrefu!!!

Mnawezaje kuhimili kero za kila kukicha na mnawezaje kuishi nae asikuishe hamu kwa miaka kadhaa au ndo wengine huapia mpaka kifo. Mimi upande wangu nikishapewa tu vile via vya uz...zi baasi sitomrudia tena huyo mtu ananiisha ham kabisa na staki hata kumtia machoni sjawahi kuwa na uhusiani wa mda mrefu zaidi ya siku nne.

Mnawezaje wanaume wenzangu???[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Hujapata uliye mpenda ndugu yangu hao wote unaokuwa nao unakuwa umewatamani tu kwa sababu 1,2 ila ipo siku utapata utakaye mpenda na hata hizo unazozihita shida zao utabadili jina na utaziita changamoto..kwa maana ni vikwazo vidogo vidogo ambavyo mwanadamu hawezi kuviepuka na vinatatulika...
 
Sisi ni wengi, wewe mwenye tabia hiyo mpo wachache, labda tuwaulize nyie mna shida gani, maana hata vitabu vyako vya dini vinategemea uishi nao na wakuchulie kama unavyowachukulia!
 
Una uhakika gani mpo wengi isemee nafsi yako tu....
 
Sina shida yeyote ila nimejikutabtu hivyo tangu nakua mpaka sasa hata nilie zaa nae staki hata kumuona nmechukua mwanangu hata akinipigia simu natamani nilikabe nikimbie kabisa[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Hujapata uliye mpenda ndugu yangu hao wote unaokuwa nao unakuwa umewatamani tu kwa sababu 1,2 ila ipo siku utapata utakaye mpenda na hata hizo unazozihita shida zao utabadili jina na utaziita changamoto..kwa maana ni vikwazo vidogo vidogo ambavyo mwanadamu hawezi kuviepuka na vinatatulika...
Ninatamani sana lakini ndio mazoea yana tabu na pia ndi sababu yakuanzisha uzi huu nyie wenzangu mmeanzaje kuweza kukaa kwenye uhusiano..
 
kesi yako nzito,upate ushauri wa daktari,ila mimi wangu nadumu nae,sabab nimejua kumdhibiti kiakili na kimwili,haniishi hamu,na ananijua nikikasirika lazma atulize akili,kuna wakat mimi ndo nakosea ila nakuwa mbabe na yeye ananywea,na nimeamua kukaa nae nisije nikamuumiza moyo wake kama nilivyofanya kwa aliyepita,
 
Habari wana jamvi. Nimekua nikishangaa kila siku katika haya maisha kuanzia nmekua na akili yakuwatamani hawa wanawake. Nina zaidi ya miaka 35 lakini nimebakia kuwa mshangaaji inakuaje wanaume wenzangu mnaweza kudumu na wanawake kwenye mahusiano kwa mda mrefu!!!

Mnawezaje kuhimili kero za kila kukicha na mnawezaje kuishi nae asikuishe hamu kwa miaka kadhaa au ndo wengine huapia mpaka kifo. Mimi upande wangu nikishapewa tu vile via vya uz...zi baasi sitomrudia tena huyo mtu ananiisha ham kabisa na staki hata kumtia machoni sjawahi kuwa na uhusiani wa mda mrefu zaidi ya siku nne.

Mnawezaje wanaume wenzangu???[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Mkuu unataka kutuambia kwenye maisha yako wanawake ni miongoni mwa disposable material??? yaani unawatumia mara moja tu kama pakiti ya condom???....nimeuliza tu, sina mafungamano na upande wowote,
 
Back
Top Bottom