karim02
Member
- Apr 25, 2016
- 64
- 40
Poleni na majukumu ya kutwa nzima wakuu,
Nimekuwa na mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya mwaka sasa, bali tabia yake ya hasira na kutokuwa mvumilivu vimekuwa ni changamoto kubwa kwangu, kiukweli mpenzi wangu huyu hana subira na ni mwingi wa hasira, hususani anapohitaji kitu hutaka apate kwa wakati. Namaanisha kama huna anachohitaji kwa wakati husika ni shida, atakasirika, atavimba na pengine kukutamkia maneno yasiofaa, nipo njia panda sijui nifanye nini ili kuepuka changamoto hizi.
Naombeni ushauri wenu please.