Jocasta
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 474
- 595
Ni mpenzi wangu kwa muda wa miaka mitano sasa!!! Nampenda sana tena sana. Juzi kapiga simu akasema ana mazungumzo na mimi. Jana kasema tuachane, nilipouliza sababu hakunipa.
Inaniuma sana tena sana coz nilikuwa nimewekeza kwake 100%. Naombeni pakuanzia jamani,nifanyeje?
Inaniuma sana tena sana coz nilikuwa nimewekeza kwake 100%. Naombeni pakuanzia jamani,nifanyeje?