Nimekaa nikachunguza sana pengine hata mimi nina tabia hiyo, utakuta una msichana mzuri wa sura na tabia lakini ikitokea bahati mbaya ukikutana na msichana mwingine pengine barabarani lazima...
Habari za usiku huu wanajamii,
Naweza kusema ni bahati mbaya au ni ujinga nilioukumbatia mpaka yakanikuta Leo.
Nisiwachoshe sana ngoja niende kwenye lengo nililokusudia. Mwaka 2007 nilikua na...
109-Year-Old Woman Reveals Her (Hilarious) Secret to a Long Life is AVOIDING MEN
So what's her secret to a long life? In an interview, she revealed that exercising and having a daily bowl of...
Salaam wanabodi,
Bila shaka unawajua ama umesikia ama na wewe ni mmojawapo ya hawa single ladies ambao unakuta alizaa mtoto na anamlea mwenyewe na labda amepanga mjini halafu unakuta analala...
Hello,
Its just that Kasie is too selfish to give the only thing she has......
She find it very difficult, this is because more than being selfish she found that she love herself and do not...
Katika maisha hakuna kitu kibaya kama kupokea taarifa mbaya na hichi ndiyo chanzo cha matatizo yote pale mtu anapoambiwa ameathirika na hapa ndiyo ugonjwa unapoanzia kwasababu ya uoga pia kuhisi...
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi ...
Habari za mihangaiko wana jf, leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko...
Othmani anajilaza kitandani akiwa na lengo la kumsubiri rafiki yake Shukuru. Taratibu mawazo yanamrudisha nyuma miaka miwili iliyopita. Wakati akija kuanza masomo yake ya shahada ya Soshologi...
mim ni msichana mwenye umri wa27 nahitaji mwanaume mwenye hali kama yang ili tuanzishe familia naomba mwanaume yoyote aliyetayar ila asiwe tegemez coz mim pia nmwajiriwa wakipato cha kati meng...
Hodi humu
Mimi mgeni kidogo humu, ila kwakuwa na mimi ni mkereketwa wa mahusiano acha leo nilete hoja humu kwa kujitumia kama mfano.
Binafsi nimeshaji engage kwenye mahusiano kwa muda sasa, na...
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8...
Wanadada wengi wamekuwa wakilalamika sana eti wanaume hawaeleweki. Lugha ya wanaume wote duniani ni moja tu asikudanganye mtu. Hamna lugha nyingine wanaume wanayozungumza zaidi ya hii.
Nenda...
Nina rafiki yangu ana kazi nzuri tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba hela kama mara mbili hivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho huyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5...
Ni kijana ambaye ni jirani yetu, sasa huyu kijana huwa anatabia ya kutaniana sana na mama yake mzazi yaani wana ule utani tu wa kawaida wa mama na mtoto. Jana jioni baada ya kutoka shule maana...
Miaka kama 5 iliyopita wanaume sisi wa kipato cha kati na cha chini tulianza kudharaulika sana. unajua ilikuwa hata ukimsalimia mdada anakutizama kwanza kwanzia juu mpaka chini, halafu anaangalia...
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu...
Heshima kwenu wadau..
Naombeni mnishauri jinsi ya kukabiliana na gharama za maisha.. Maana naona siendelei kabisa..
Ni kijana naishi na mke na mtoto mmoja.. Plus mdogo wangu na house girl...
I mean kama ni jioni ama weekend muwapo nyumbani, mmeshamaliza shughuli zenu mbali na kuangalia movie, tamthiliya, kusikiliza muziki, ni game gani ama mchezo gani mnaweza kucheza wa furaha uwapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.