Inatokea mara kwa mara kwa wanawake wengi, kipindi hajazaa huwa anatembea sana na vijivulana vingi na kuwaringia wanaume wa kweli wenye future nzuri, ila baada ya kupachikwa mimba tu na kuzaa unakuta vijivulana vyake vimemkimbia wanaanza kuona umuhimu wa kuwa na wanaume.
Uwa mnafikiri kuna mwanaume ana shida na single mother?Huwa mnafikiri wanaume watakuwa hawawaoni watoto wabichi kibao wanaotamani kuwa nao maishani?Nafikiri ni wakati kwa wanawake kujitathmini katika kuchagua watu sahihi wa kuwa nao maishani, sio mpaka uwe single mother ndo unaanza kujua umuhimu wa kutembea na mwanaume.